Neno.Live

Neno.Live Neno.Live - Neno la Mungu, Uzima wako! Pata mafundisho ya Neno la Mungu, soma shuhuda pamoja na kupat

In the memory of our hero πŸ™πŸΏ RIP Dr. J P Magufuli (5th President of Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ)
23/03/2021

In the memory of our hero πŸ™πŸΏ
RIP Dr. J P Magufuli (5th President of Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ)

Jesus loves you.Yesu anakupenda sana.
07/02/2021

Jesus loves you.
Yesu anakupenda sana.

Let's celebrate Happy New Year. Looking forward to serving our community.2021 means more blessings πŸ™πŸ™
01/01/2021

Let's celebrate Happy New Year. Looking forward to serving our community.
2021 means more blessings πŸ™πŸ™

Team nzima ya Neno.Live tunawatakia Christmas Njema! πŸ™πŸ™Tunapoadhimisha kuzaliwa kwa KRISTO YESU, basi mwambie KRISTO aza...
25/12/2020

Team nzima ya Neno.Live tunawatakia Christmas Njema! πŸ™πŸ™
Tunapoadhimisha kuzaliwa kwa KRISTO YESU, basi mwambie KRISTO azaliwe ndani yako pia, ukawe mwanzo wa mafanikio na baraka kwako. Mungu akubariki.

2020 umekuwa mwaka wa baraka sana kwetu sisi Neno.Live . Tulifanikiwa kuanzisha Neno.Live na sasa tumefikisha more than ...
24/12/2020

2020 umekuwa mwaka wa baraka sana kwetu sisi Neno.Live . Tulifanikiwa kuanzisha Neno.Live na sasa tumefikisha more than 500+ likes πŸ”₯πŸ”₯πŸ™πŸ™πŸ™
Kutoka familia ya Neno.Live, tunakushukuru wewe uliye pamoja nasi mpaka hapa, Mungu akubariki sana kwa kila ulifanyalo na mwisho wa mwaka huu uwe wa kihistoria kwako.

2021 unakwenda kuwa na baraka zaidiii, mafanikio zaiidiiii πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mungu abariki kazi ya mikono yetu πŸ™πŸ™πŸ™

Usisite kutembelea music.neno.live kwa ajili ya Gospel songs.

20/12/2020

K**a sio WEWE, tungekuwa wapi sisi? K**a sio NEEMA ya KRISTO YESU ungekuwa wapi? Mungu ni mwema sana katika maisha yetu. Sema AMEN k**a unaamini bila MUNGU usingekuwepo hapo ulipo.

Kwa hakika Mungu anakwenda kufanya kazi pamoja na wewe kwa kuwa nina imani u mmja wa wale wanaompenda Mungu πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ Baraka ...
16/12/2020

Kwa hakika Mungu anakwenda kufanya kazi pamoja na wewe kwa kuwa nina imani u mmja wa wale wanaompenda Mungu πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ Baraka zake zijae katika familia yako

β€œSasa wewe ni mimi, na mimi ni wewe. We ndo mwandani wangu, rafiki yangu ❀️❀️❀️”Siku ya leo ikafanyike baraka kwenye mah...
29/11/2020

β€œSasa wewe ni mimi, na mimi ni wewe. We ndo mwandani wangu, rafiki yangu ❀️❀️❀️”

Siku ya leo ikafanyike baraka kwenye mahusiano yako pamoja na ndoa yako. Majira k**a haya mwakani utakuwa kwenye ndoa Takatifu kwa jina la YESU KRISTO πŸ™πŸΏ

Download: Zabron Singers - Sweetie Sweetie Wedding πŸ’’ Song

https://music.neno.live/zabron-singers-sweetie-sweetie/

Address

Dar Es Salaam
14130

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neno.Live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share