Uv_jimbolakaskazini

Uv_jimbolakaskazini Akaunti Rasmi ya Vijana K.K.K.T DMP | Jimbo la Kaskazini
》 Matukio ya Kijimbo, Sharika na Mitaa
》Taarifa zote muhimu
》1 Tim 4:12

27/09/2021
Karibu ushuhudie kandanda safi kutoka kwa Vijana  kutoka Sharika na Mitaa mbalimbali
25/09/2021

Karibu ushuhudie kandanda safi kutoka kwa Vijana kutoka Sharika na Mitaa mbalimbali

25/09/2021
Tukutane kwa Wingi Leo Viwanjani..Mjulishe na mwenzako.
25/09/2021

Tukutane kwa Wingi Leo Viwanjani..

Mjulishe na mwenzako.

Awamu ya Pili ya Udiakonia ilifanyika KibahaVijana kadhaa kutoka Sharika na Mitaa mbalimbali waliweza kushirki kwa kuwak...
25/08/2021

Awamu ya Pili ya Udiakonia ilifanyika Kibaha

Vijana kadhaa kutoka Sharika na Mitaa mbalimbali waliweza kushirki kwa kuwakilisha wengine.

Mtaarifu na Kumjulisha mwingineJiandae na semina hii itayoanza wikii hii ya Mwl. Christopher Mwakasege Ubarkiwe
07/06/2021

Mtaarifu na Kumjulisha mwingine

Jiandae na semina hii itayoanza wikii hii ya Mwl. Christopher Mwakasege

Ubarkiwe

  Tukio la Udiakonia
07/06/2021


Tukio la Udiakonia

Matukio mbalimbali ya Tukio la Udiakonia lilofanyika hivo karibuni..katika Jimbo letu la Kaskazini Vijana walishiriki ku...
01/06/2021

Matukio mbalimbali ya Tukio la Udiakonia lilofanyika hivo karibuni..katika Jimbo letu la Kaskazini

Vijana walishiriki kucheza na kuimba na kufurahi pamoja na watoto wa kituo cha Babu na Bibi - Madale.

Tulipata nafasi ya kujifunza mengi juu ya historia ya kituo na maisha ya watoto wanaotunzwa katika kituo hiko.
01/06/2021

Tulipata nafasi ya kujifunza mengi juu ya historia ya kituo na maisha ya watoto wanaotunzwa katika kituo hiko.

Matukio mbalimbali ya Udiakonia ambapi Vijana waliowakilisha wengine kushirikiana na Viongozi walishiriki furaha na kuji...
30/05/2021

Matukio mbalimbali ya Udiakonia ambapi Vijana waliowakilisha wengine kushirikiana na Viongozi walishiriki furaha na kujifunza pia kutoka kwa watoto mbalimbali katika kituo cha Babu na Bibi - Madale.

Picha na

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uv_jimbolakaskazini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share