01/02/2022
MUNGU alisema vyote vilivyomo nduniani ni mali ya Bwana, kisha akampa mamlaka mwanadamu avitawale na kuvimiliki lakini imekuwa vigumu kumiliki pesa, wanadamu wengi walio pewa mamlaka ya kumiliki tuna hali ngumu kweli kweli. Wana wa MUNGU tufanyeje?