Tec/Nca Projects

Tec/Nca Projects Its about projects between two Organisations which are Tanzania Episcopal Conferences and Norwegian Church aid.

Wajumbe wa Kamati ya Dini mbalimbali Wilaya ya Kasulu pamoja na Mratibu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Jmii iliyoboreshwa (...
20/01/2022

Wajumbe wa Kamati ya Dini mbalimbali
Wilaya ya Kasulu pamoja na Mratibu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Jmii iliyoboreshwa (iCHF)kutoka Halmashauri ya Mji wakiwa katika zahanati ya Kijiji cha Kanazi wilayani humo, mara baada ya kufanya zoezi la kuhamasisha wananchi kijiunga katika Mfuko huo . Shughuli hiyo imeratibiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC) kwa Ufadhiri wa wa Norwegian Church Aid(NCA)

Mkuu wa wilaya Kakonko Kanali Evans Malasa (aliyesimama mbele) akisitiza jambo wakati wa ufunguI wa Mafunzo ya Maendeleo...
22/07/2021

Mkuu wa wilaya Kakonko Kanali Evans Malasa (aliyesimama mbele) akisitiza jambo wakati wa ufunguI wa Mafunzo ya Maendeleo Endelevu na Utekelezaji wa Haki za Binadamu yaliyoandaliwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kwa ufadhili wa NCA yaliyowashirikia wajumbe wa Kamati ya dini mbalimbali ya wilaya Kakonko na waadau wengine ili kuhamasisha jamii kupambana na umaskini uliokithiri

Kamati ya mahusiano baina ya dini mbalimbali wilaya ya Kasulu baada ya kikao cha robo mwaka
07/05/2021

Kamati ya mahusiano baina ya dini mbalimbali wilaya ya Kasulu baada ya kikao cha robo mwaka

Address

Tanzania Episcopal Conferences/Kurasini
Dar Es Salaam
2133

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tec/Nca Projects posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share