Pete Ya Muhuri Int'l Ministries

Pete Ya Muhuri Int'l Ministries Pete Ya Muhuri Int. Ministries is the place of Sonship, Kingship, Inheritance and the Spirit of Lord of Host and Peace. ☆Objectives :
1.

"To prepare Sons, Heritage and Heirs of God, Priesthood Kings, who walk in the Spirit and Power and the Spirit of the Lord of Hosts and Peace."

2. "To prepare the Sons of God for CHRIST Jesus to reign with Christ when He comes the Second time for us (the Church) / his brethren."

☆Malengo :
1. "Kuwaanda Wana , Urithi na Warithi wa Mungu, Wafalme wa Kikuhani, wanaotembea katika Roho na Nguvu na R

oho wa Bwana wa Majeshi na Amani."

2. "Kuwaanda Wana wa Mungu katika KRISTO Yesu Kutawala pamoja na Kristo atakapo kuja mara ya Pili kwaajili ya sisi (Kanisa)/ ndugu zake."



☆Mission :
We have only one subject "...To know Jesus Christ and Him Crucified." 1 Corinthians 2:2 NKJV. He is our project in the World.

☆Utume :
Utume wetu ni mmoja tu "...Kumjua Yesu Kristo, Aliyesulubiwa." [1 Wakorintho 2:2] Tafsiri Biblia ya NENO. Yesu Kristo ndiyo Mradi wetu pekee duniani.

Neno la Bwana ni pumziko kwa vizazi hata vizazi.
17/08/2026

Neno la Bwana ni pumziko kwa vizazi hata vizazi.

15/08/2026

Ujumbe ndio makubaliano yetu!

14/08/2026

Zawadi ya wokovu haina mashariti, haina dini na wala haichagui familia au kujua ulipotoka bali ni kipawa cha Elohim mwenyewe kwa ulimwengu!

13/08/2026

Hatua mpya, ufahamu mpya! Law of shifting

Sheria na kanuni za mafanikio ambazo Bwana ametupatia, hatuzifuati ili tufanikiwe bali tunaziishi kwasababu Bwana amesha...
13/08/2026

Sheria na kanuni za mafanikio ambazo Bwana ametupatia, hatuzifuati ili tufanikiwe bali tunaziishi kwasababu Bwana ameshatufanikisha.

Ushuhuda wa Bwana ni urithi wetu  na wa vizazi vyetu unaodumu milele na milele kwa huo tunadumishwa milele.
13/08/2026

Ushuhuda wa Bwana ni urithi wetu na wa vizazi vyetu unaodumu milele na milele kwa huo tunadumishwa milele.

“Ofisi na Karama ya Unabii   katikati ya Mwili wa Kristo ni makao ya Roho wa Neema, Uana, Usimamizi, Ubunifu na Ukaliman...
13/08/2026

“Ofisi na Karama ya Unabii katikati ya Mwili wa Kristo ni makao ya Roho wa Neema, Uana,
Usimamizi, Ubunifu na Ukalimani wa kila Wazo la Kiungu ndani ya Ufalme wa Mungu.”
2 Fal 6:1-6.

Injili ya Yesu Kristo ni Roho wake Kristo aliyemwaga kwetu pasipo kikomo.
13/08/2026

Injili ya Yesu Kristo ni Roho wake Kristo aliyemwaga kwetu pasipo kikomo.

12/08/2026

Utukufu wa wokovu wetu! Glory of our salvation
Wokovu ni nini au nani? Karibu katika dakika 5 za maajabu ya baraka ya Ufahamu.

#

Karama ya Neno la kupambanua  Roho kwetu wana na Urithi wa Kristo Yesu kwa Elohim BABA yetu ipo kutusaidia kujua aina ya...
12/08/2026

Karama ya Neno la kupambanua Roho kwetu wana na Urithi wa Kristo Yesu kwa Elohim BABA yetu ipo kutusaidia kujua aina ya utajiri wa Neema aliyopewa kila mwana na kuhani wa kifalme katika ofisi na huduma aliyokasimiwa na BWANA wetu Kristo Yesu.

Address

Sinza-Remy
Dar Es Salaam
TIME12:00PMTO06:00PM

Opening Hours

Monday 06:00 - 18:00
Tuesday 06:00 - 18:00
Wednesday 06:00 - 18:00
Thursday 06:00 - 18:00
Friday 06:00 - 18:00
Saturday 07:00 - 18:00

Telephone

+255742250090

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pete Ya Muhuri Int'l Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pete Ya Muhuri Int'l Ministries:

Shortcuts

Share