Efatha church kiluvya

Efatha church kiluvya To bring the world to jesus

Maombi: 1. Mshukuru Mungu kwa ajili ya mfungo wa mwaka jana, maana Yeye amekuwa mwema kwetu na hata tumeona akijibu maom...
12/05/2023

Maombi:
1. Mshukuru Mungu kwa ajili ya mfungo wa mwaka jana, maana Yeye amekuwa mwema kwetu na hata tumeona akijibu maombi yetu.
1 Mambo ya Nyakati 16:8 “Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake; Wajulisheni watu matendo yake.” 34 “Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele.”

2. Zaburi 54:2 “ Ee Mungu, uyasikie maombi yangu, Uyasikilize maneno ya kinywa changu.” Omba Mungu asikie na ayaridhie maombi yako yote utakayopeleka mbele zake ndani ya mwezi huu wa kufunga na kuomba.

3. Yeremia 17:14 “Uniponye, Ee Bwana, nami nitaponyeka; uniokoe, nami nitaokoka; kwa maana wewe ndiwe uliye sifa zangu.”
Muombe Mungu akaponye na kukomboa Kanisa, familia yako na hata nchi kwa ujumala.

Zaburi 69:13 “Nami maombi yangu nakuomba Wewe, Bwana, Wakati ukupendezao; Ee Mungu, Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, Katika kweli ya wokovu wako.”
Zaburi 102:2 “Usinifiche uso wako siku ya shida yangu, Unitegee sikio lako, siku niitapo unijibu upesi. Maana siku zangu zinatoweka k**a moshi, Na mifupa yangu inateketea k**a kinga.”

Mwezi huu Bwana anakwenda kukujibu kwa wepesi.

4. Muombe Bwana kusiwepo na kizuizi chochote kitakachopingana na ratiba ya mfungo ndani ya mwezi h

If you love god say ameen
10/05/2023

If you love god say ameen

Tutakuwa tunapatikana kisimbuzi cha azam tv channel no 1182
19/01/2023

Tutakuwa tunapatikana kisimbuzi cha azam tv channel no 1182

Address

Kiluvya Gogoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha church kiluvya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha church kiluvya:

Share