Mico International Halal Bureau of certification

Mico International Halal Bureau of certification Halal certification company based in Tanzania, we certify human consumable products by Sharia Law.

MIHB Halal  Auditors
20/08/2024

MIHB Halal Auditors

20/08/2024

KONGAMANO LA HALAL 2024
______________________
Mkurugenzi Mtendaji wa Chemba ya Biashara, Viwanda, na Kilimo Tanzania (TCCIA), Bw. Oscar Kissanga, anawakaribisha wanachama wa TCCIA jumuiya za Wadanyabaishara nchini, kushiriki kongamano la Halal litakalofanyika tarehe 14 Agosti katika Ukumbi wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kongamano hili limeandaliwa na  ambaye ni Mwanachama wa TCCIA na litatoa fursa kwa Wadau kufahamu masuala muhimu yanayohusu soko la Halal, fursa za biashara, na uwekezaji.


🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

"Private sector engine of growth"
🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
 @uwekezajiviwandabiashara  @tpsf_tanzania   @wasafitv  @tzwomenchamber_twcc  @tcciamanyara  @tcciamwanza_official  @tcciabusinesstv  @tantrade_updates  @afcftasecretariat   kilimo

25/07/2024
For Registration and Enquiries Call Us or WhatsApp via0735212463 / 0657338792
24/07/2024

For Registration and Enquiries
Call Us or WhatsApp via
0735212463 / 0657338792

Mico International Halal Bureau Limited ndio kampuni pekee yenye dhamana ya kukagua na kupitisha bidhaa / huduma zenye n...
02/06/2023

Mico International Halal Bureau Limited ndio kampuni pekee yenye dhamana ya kukagua na kupitisha bidhaa / huduma zenye nembo ya halal hapa Tanzania.

Kwa kushirikiana na wabia wetu, tumeweza toa vyeti vya halal kwa kampuni mbalimbali zinazotoa huduma na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali.

Bidhaa / huduma yako ikiwa na nembo ya halal itawafikia watumiaji wengi na kuongeza imani kwa watumiaji.

Unasubiri nini? Karibu tukuhudumie.

Email: [email protected]
WhatsApp: +255 756 720 222



05/05/2023

Jambo letu tulilolifanyia kazi kwa nguvu na
ujuzi wetu wote lipo Tayari, tafadhari mshirikishe na
mwezio akae mkao wa kula.

Je, unahitaji bidhaa yako iwe na nembo ya halal?

Wasiliana na si Leo, uanze utaratibu wa kupata nembo
ya Halal.

Email: [email protected]
Simu: +255 756 720 222






Happy Workers day
01/05/2023

Happy Workers day

Address

Magomeni Mapipa
Dar Es Salaam

Opening Hours

08:00 - 12:00

Telephone

+255735212463

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mico International Halal Bureau of certification posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share