Wokovu upo kwa YESU pekee

Wokovu upo kwa YESU pekee Ni upendo wa ajabu mno.

Tujifunze kwa pamoja jinsi gani Mungu anakuthamini wewe mwanadamu, hata akadiriki kumtoa mwanawe wa pekee Yesu ili aje akutoe katika dhambi na mateso ya shetani.

28/06/2024

JE, UNAJUA MOJA YA MAJUKUMU YAKO K**A MKIRISTO? NI KUWASHUHUDIA WENGINE NA KUWALETA KWA YESU.

20/01/2022

KILA ANAYEMTEGEMEA MUNGU HAKOSI USHINDI

22/11/2021

Maisha ya mwanadamu ni k**a majani huchipuka na kunyauka, mpendwa ishi ukijua kuna siku moja utatakiwa kutoa hesabu zako mbele za Mungu. WOKOVU UPO KWA YESU PEKEE (WARUMI 10:9-10).

28/09/2021

HERI KUMKIMBILIA MUNGU KULIKO KUWATUMAINIA WANADAMU

13/01/2021

MPINGENI SHETANI NAYE ATAWAKIMBILIA, MKARIBIENI MUNGU NAYE ATAWAKARIBIA (YAKOBO 4:7).

Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale...
19/09/2020

Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake. YOHANA 1:11-12

Address

0754890965
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wokovu upo kwa YESU pekee posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share