Injili ya Kristo Yesu

Injili ya Kristo Yesu "Karibu kwenye Injili ya Kristo Yesu
Lengo letu ni kueneza
upendo, matumaini na wokovu kwa
kila mtu kupitia ujumbe wa Yesu
Kristo. Mungu akubariki!

Jiunge nasi, pata baraka, na
ushiriki katika kuimarisha imani yako
kila siku. INJILI YA KRISTO ALIYE HAI

14/04/2026

Yesu, wale wenzetu walituzidi nini!!!!😭😭
Mbona walikuwa wanadamu k**a sisi

22/03/2026

Usikose ibadani leoEagt Marungu karibu uabudu pamoja nasi.
15/03/2026

Usikose ibadani leo
Eagt Marungu karibu uabudu pamoja nasi.

19/02/2026

Karibuni sana

23/01/2026

Kuna wakati unaomba, unajaribu,
lakini bado mambo hayaendi.
Usikate tamaa.
Mungu hakuacha.
šŸ™ Acha Amen k**a unaamini.



23/01/2026

Kuna wakati unaomba, unajaribu,
lakini bado mambo hayaendi.
Usikate tamaa.
Mungu hakuacha.
šŸ™ Acha Amen k**a unaamini.

08/01/2026

Follow this link to join my WhatsApp group:

  Tamka kwa ImaniNinakanyaga mwanga wa neema. Ardhi ninayotembea imefunikwa na utukufu wa Mungu. Kila hatua yangu ni tan...
02/12/2025

Tamka kwa Imani
Ninakanyaga mwanga wa neema. Ardhi ninayotembea imefunikwa na utukufu wa Mungu. Kila hatua yangu ni tangazo la baraka, ufunuo, na mwelekeo mpya. Giza halina mamlaka juu yangu—nimechagua kutembea katika nuru ya Kristo!"
Hatua yangu si ya kawaida
Miguu yangu imepakwa mafuta ya kusudi. Na kila ninapokanyaga, baraka hufuata.

Mkono ni ishara ya kazi, huduma, baraka, na ulinzi.- Mungu hutumia mikono ya wanadamu kutenda miujiza duniani—kugusa wag...
02/12/2025

Mkono ni ishara ya kazi, huduma, baraka, na ulinzi.
- Mungu hutumia mikono ya wanadamu kutenda miujiza duniani—kugusa wagonjwa, kuinua waliodhoofika, kuandika maono.
- Mistari ya mkono ni k**a ramani ya kusudi lako. Mungu ameandika hatima yako kwa uangalifu.

13/11/2025

Wakati mwingine Mungu hukujibu… kwa kukutuliza, sio kwa kukupa

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Injili ya Kristo Yesu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Injili ya Kristo Yesu:

Share