Disciples’ Network

Disciples’ Network Fellowship of Christ Disciples Church is a Non-Denominational Fellowship focusing on CHRIST

21/08/2026

LIVE

16/08/2026

NI WAKATI WAKO KUSTAWI
USIPISHANE NA MAJIRA!
USIZUILIKE!

GO AND TAKE OVER 💥💥💥




15/08/2026

A MOMENT OF PRAISE💥💥💥
Disciples Fellowship

HONGERA VIJANA WETU! 🚀🔥Tumemaliza siku 3 za Disciples Innovative 2050 Bootcamp — siku ambazo vijana wamepata nafasi ya k...
13/08/2026

HONGERA VIJANA WETU! 🚀🔥

Tumemaliza siku 3 za Disciples Innovative 2050 Bootcamp — siku ambazo vijana wamepata nafasi ya kujifunza, kufikiri kwa upana, kuibua mawazo yao na muhimu zaidi, kuanza kuyageuza mawazo hayo kuwa vitendo.💡✨

Tunawapongeza vijana wote walioshiriki kwa moyo wa kujifunza, kuuliza, kujaribu na kuamini kwamba mawazo yao yanaweza kuwa sehemu ya suluhisho la changamoto zinazotuzunguka.

Tunatoa shukrani za dhati kwa wawezeshaji wote waliojitoa kwa muda, maarifa na uzoefu wao ili ku-sharpen minds za kizazi hiki. 🙌

Pia tunawashukuru waandaaji, Disciples Community, kwa kuandaa jukwaa hili la ubunifu, maarifa na utekelezaji. Na kwa namna ya kipekee, tunawashukuru waanzilishi na wabeba maono wa Disciples Community, kwa kuendelea kuwekeza katika kizazi cha sasa na kijacho. ❤️

Hii haikuwa siku 3 za kujifunza tu ilikuwa ni mwanzo wa mawazo mapya, ubunifu mpya na utekelezaji mpya.

Until Next Time… 🚀
The future is being built today!

Masoud Kipanya
Disciples Community
Subira Bawji
Prudence Zoe Glorious

Lydia Charles Moyo
Annastazia Rugaba-Marondo
Abinallah
JamiiForums
Sebastian Marondo

Address

Mbezi Beach, Makonde
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Disciples’ Network posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Disciples’ Network:

Share