Sda Church Yombo

Sda Church Yombo NI MIONGONI MWA MAKANISA YANAYOFANYA UINJILISTI NA KUJENGA MAKANISA KATIKA MAENEO MAPYA.

BRAIN POWER ( BRAIN BOOSTER): Zipo njia nyingi za kukuza ukali wa akili  katika UTAMBUZI, KUMBUKUMBU, UMAKINI, HOJA NA U...
22/02/2023

BRAIN POWER ( BRAIN BOOSTER): Zipo njia nyingi za kukuza ukali wa akili katika UTAMBUZI, KUMBUKUMBU, UMAKINI, HOJA NA UTATUZI WA SHIDA.

29/06/2022

*Date: Jun 28, 2022*
*Subject: NENO KUU DAY 04*

*SOMO* : ```UKWELI JUU YA MUNGU WA KWELI```

_MHUDUMU: PR. DAVID MADUHU MAKOYE_

*JE, Kuna miungu wangapi?*

Yohana 14:6
6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

*MUNGU wa kweli ni Muunganiko wa nafsi tatu za milele anaestahili Kuabudiwa, Kusujudiwa na Kuogopwa*

```NI AJABU SANA KUONA WANADAMU WAKIABUDU, WANYAMA, AMA MITI MIKUBWA AU MILIMA MIREFU, TENA CHA AJABU SANA UTAKUTA MTU ANAABUDU KINYAGO ALICHOKICHONGA MWENYEWE😭😭```

_SIFA ZA MUNGU WA KWELI NA MUUMBAJI_

*1.NI MUNGU ANAEJUA KILA KITU(OMNISCIENT)*
>>>Hafungwi wala hazuiliwi na kitu, hahitaji kujifunza chochote, yeye hufahamu mambo yote meisho wake hata kabla ya kuwake, Ni Mwenye Ufahamu na Hekima yote

```2.MWENYE UWEZA WOTE(OMNIPOTENT)```
>>>
Ana uwezo unaopita ukomo na unaopita mipaka ya bunadamu

>>>Hakuna nguvu ya asili iliyowahi kuwashinda wanadamu na ikamshinda Mungu🧏

```3.YUPO KILA MAHALI KWA WAKATI MMOJA(OMNIPRESENT)```
>>>>Hivyo ndivyo alivyo, yeye hana chanzo wa asili na jina lakeni YEHOVA, Na hakuna kitu chochote chenye kuwa na sifa hizo tatu

```Kumbukumbu la torati 6:```

*5 Nawe mpende Bwana, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.*
>>>>Hatuwezi kumpenda Mungu tusiemfahamu, Sharti tumfahamu kisha tumpende

_USHAHIDI UNAOONYESHA UWEPO WA MUNGU NA KWELI_

*1.KITABU CHA MAUMBILE YA ASILI, YAANI MAUMBO YA KILA KITU UNACHOKIONA INATOSHA KUKUFAHAMISHA KUWA YUPO DESIGNER*

*2.KATIKA MAANDIKO YAKE, YAANI BIBLIA*

>>>>>>MAANDIKO HAYATHIBITISHI UWEPO WA MUNGU BALI HUCHUKULIA KUWA MUNGU YUPO NA INAFAHAMILA TU.

*3.USHAHIDI KUTOKA KATIKA MAJINA*
>>>Kwa mfano kwa kisukuma
Welelo,Mgasa, Mdimi....Haya yote huthibitisha kuwa Mungu yupo.

```MUNGU AKUBARIKI SANA, KARIBU TENA.

Panga kushiriki na kualika marafiki zako popote pale wataweza kufikiwa na mikutano hii kupitia mitandao ya kijamii, radi...
23/06/2022

Panga kushiriki na kualika marafiki zako popote pale wataweza kufikiwa na mikutano hii kupitia mitandao ya kijamii, radio na Hope Channel Tanzania.

09/03/2022
VIUMBE WA MUNGU: Hakuna ndege mkorofi, msumbufu KWA ndege TAI k**a Kunguru, amwonapo Tai anaruka uanza kumzonga zonga, k...
06/12/2021

VIUMBE WA MUNGU: Hakuna ndege mkorofi, msumbufu KWA ndege TAI k**a Kunguru, amwonapo Tai anaruka uanza kumzonga zonga, kumshambulia kuanzia shingoni na kichwani. LAKINI CHA AJABU, TAI anaposumbuliwa na Kunguru anachokifanya ni kupaa juu zaidi angani kiasi cha kufanya kunguru kukosa hewa ya oxygen na kurejea au kuanguka chini, Kisha kuendelea na safari yake.

MUOMBE MUNGU AKUPATIE TABIA NJEMA K**A YA NDEGE TAI YA KUTOSHAMBULIA WATU HATA K**A ATASHAMBULIWA NA MAADUI ZAKE, NA ZAIDI YEYE UPAA JUU JUU MAWINGUNI NA KUENDELEA NA SAFARI YAKE.

Askari wa Hispania wakiongozwa na Kamanda wao mnamo karne ya 15 walienda kuvamia kisiwa kimoja huko Mexico. Wakiwa jumla...
05/12/2021

Askari wa Hispania wakiongozwa na Kamanda wao mnamo karne ya 15 walienda kuvamia kisiwa kimoja huko Mexico. Wakiwa jumla ya Askari 500+ na boti 11. Waliposafiri kukaribia eneo la uvamizi k**anda wao aliwaamrisha watu wote washuke ndani ya boti, na wote wakashuka. Baadae akaamuru na manahodha washuke Kisha akatoa amri, kuwa boti zao zote zitiwe moto zikiwa zinaelea ndani ya Maji. Kisha akawauliza Askari wake je, umeelewa ni KWA nini imekuwa hivyo, wakasema hawaelewi. AKAWAAMBIA, NI JAMBO MOJA TU LILILOBAKI NI AMA TUFE WOTE AU TUSHINDE HII VITA. NA HAKUNA PLAN B

BAADA YA TUKIO LILE INASEMEKANA YA KUWA ILE VITA WALIIPIGANA NA WAKAISHINDA KWA USHINDI MKUBWA.

JE, unaijua ni nini ilikuwa sababu kuu ya Ushindi???????? TAFAKARI Jambo hilo maishani mwako na Mungu akupiganie katika vita vyako Ili hatimae uwe mshindi na mshindi zaidi.

DAR: KUELEKEA KWENYE JUBILII YA KWAYA YA FAMILIA YA INJILI.Wataje wale unaowafahamu kwenye picha walioimbia enzi hizo.
01/11/2021

DAR: KUELEKEA KWENYE JUBILII YA KWAYA YA FAMILIA YA INJILI.

Wataje wale unaowafahamu kwenye picha walioimbia enzi hizo.

NI MAADHIMISHO YA MIAKA 31 YA KWAYA YA FAMILIA YA INJILI & UZINDUZI WA DVD VOL. 4. USIKOSE SIKU HIYO.
24/09/2021

NI MAADHIMISHO YA MIAKA 31 YA KWAYA YA FAMILIA YA INJILI & UZINDUZI WA DVD VOL. 4.

USIKOSE SIKU HIYO.

TUKIO KUBWA NA MAKINI LINAKUJIA HIVI KARIBUNI.
10/09/2021

TUKIO KUBWA NA MAKINI LINAKUJIA HIVI KARIBUNI.

Address

Yombo Vituka
Dar Es Salaam

Telephone

+255715614405

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sda Church Yombo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Sda Church Yombo:

Share