Ev. Mwl. Daniel Mollel

Ev. Mwl. Daniel Mollel Yohana 8:32
tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

14/01/2026
Good morning  Kumbuka kuishi ni kwa kusudi la Aliye kupa uhai wake Tuishi kwa adabu kwa kuwa kila mtu ametumwa na kila m...
21/08/2023

Good morning


Kumbuka kuishi ni kwa kusudi la Aliye kupa uhai wake
Tuishi kwa adabu kwa kuwa kila mtu ametumwa na kila mtu ana mission iliyo mleta hapa duniani.

Kwa hiyo tabia ya kuwa chukulia wengine poa na kuleta dharau acha mara Moja.

Kwa kuwa k**a kwako saa hii ni Mchana usimcheke au kudharau ambaye kwake saa hii ni usiku, kumbuka usiku hautadumu lazima asubuhi yake ije k**a ilivyo ratibiwa na Mungu.

Najua mwingine akisoma atasema maneno ya mkosaji sawa ila asomaye na afahamu Kaa kuwa saa inakuja na Bwana wa mavuno atakudai mavuno yake, sasa sijui utasema Tena ni maneno ya mkosaji?.

Kumbuka Mbingu zipo kwa ajili ya wasikivu na watii na wanao tekeleza walicho ambiwa.

Na Jehenamu ipo kwa ajili ya wakaidi wa wasiitii walicho agizwa.

Shika sana ulichonacho asije mtu akakunyang'anya.
Barikiwa.
.Ev Daniel Mollel.
.family.com.
LANGO la Mbinguni.
0788601484/0683315281.

Tenga sikio na uwelewe
04/08/2023

Tenga sikio na uwelewe

Maombi maombi maombi ........
24/07/2023

Maombi maombi maombi ........

MAOMBI MAOMBI MAOMBI
23/07/2023

MAOMBI MAOMBI MAOMBI

Garama ya kitu haipo kwenye mwonekano ipo kwenye utengenezaji
16/07/2023

Garama ya kitu haipo kwenye mwonekano ipo kwenye utengenezaji

KARIBU TUOMBE PAMOJA NA KUJIFUNZA FAIDA ZA KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU KATIKA UTUPU NA UKAUFU.
11/03/2023

KARIBU TUOMBE PAMOJA NA KUJIFUNZA FAIDA ZA KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU KATIKA UTUPU NA UKAUFU.


With Daniel Mollel and Mwl Jackline Macha, hosted by Betheli LANGO la Mbinguni

Address

Magengeni Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255788601484

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ev. Mwl. Daniel Mollel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ev. Mwl. Daniel Mollel:

Share