31/07/2026
Leo leo leo ,,,,,,,,,,
Saa 3 kamili usiku till asubuhi🔥🔥🔥🔥
📍KKKT UBUNGO 31/07/2026
DMP vijana tutakua tukimshukuru ,kuabudu na kumsifu MUNGU sanaaa,,sasa unakosaje kwa mfano,,, jukumu lako ni moja tu mwambie mwenzio amwambie mwenzie leo sehemu ni moja tu.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wote mnakaribishwa