17/08/2026
DAY 2
MAOMBI YA KUBOMOA UKUTA WA YERIKO.
Leo Tarehe 17.08.2026
Ni siku ya Pili ya Maombi ya kubomoa ukuta wa Yeriko.
Huduma itaanza saa 9:00 Alasiri Hadi saa 12:00 Jioni.
Jitahidi kuwahi kabla ya muda huo ili tuanze pamoja. Itafanyikia Agape Centre, Mbezi, Kibanda cha mkaa.
Ni siku ya pili
utazunguka tena Yeriko yako na Mungu atatenda makuu.
Don't Miss it's for Seven days only.