Umoja Wa Vijana KKKT Kawe

Umoja Wa Vijana KKKT Kawe WAEFESO 6:10 - 12

RATIBA YA IBADA ZA KRISMASI NA MWAKA MPYA
23/12/2023

RATIBA YA IBADA ZA KRISMASI NA MWAKA MPYA

Ni leo mpendwa mwenzangu, ninaombi Moja tu kwako naomba upange ratiba zako usikose!. Watumishi wa Bwana wakiongozwa na m...
15/12/2023

Ni leo mpendwa mwenzangu, ninaombi Moja tu kwako naomba upange ratiba zako usikose!. Watumishi wa Bwana wakiongozwa na mchungaji wetu wa usharika wako tayari kuhudumu usiku wa leo
Sasa basi fanya juu chini njoo na mtu!, usiwepeke yako na Mungu akubariki sana
Ile siku ni leo kulitukuza na kuliazimisha jina la Bwana karibu saana kuanzia saa tatu usiku mpka asubuhi.

SISKUU YA VIJANA KKKT KAWE PASTOR EPA NA PRAISE TEAM KAWE WAKIHUDUMU KUPAMBA NA KUMSIFU MUNGU LEO TAREHE 27/8/2023
27/08/2023

SISKUU YA VIJANA KKKT KAWE PASTOR EPA NA PRAISE TEAM KAWE WAKIHUDUMU KUPAMBA NA KUMSIFU MUNGU LEO TAREHE 27/8/2023

KARIBUNI KWENYE UZINDUZI WA SIKUKUU YA MAVUNO HAPA KANISANI.
26/08/2023

KARIBUNI KWENYE UZINDUZI WA SIKUKUU YA MAVUNO HAPA KANISANI.

Ndugu wapendwa katika Bwana, Kwa niaba ya Mchungaji wa KKKT Kawe, Michael Costantine tunawakaribisha katika ibada ya jumapili ya kesho 27/08/2023.... Uzinduzi wa sikukuu ya mavuno , Neno la k**imamia ni Mwanzo 8:22 "Muda nchi idumupo, majira ya kupanda, na mavuno, wakati wa baridi na wakati wa hari, wakati wa kaskazi na wakati wa k**i, mchana na usiku, havitakoma. "

Ratiba Ya ibada ya pasaka iko iv wapendwa Karibu tumwabudu Mungu wetu.
06/04/2023

Ratiba Ya ibada ya pasaka iko iv wapendwa Karibu tumwabudu Mungu wetu.

18/01/2023

Jerry.costa

Usipange Kukosa
28/12/2022

Usipange Kukosa

Ibada ya leo tarehe 26/12/2022 Boxing day
26/12/2022

Ibada ya leo tarehe 26/12/2022 Boxing day

LIVE YOUTUBE IBADA YA KRISMASS
25/12/2022

LIVE YOUTUBE IBADA YA KRISMASS

KARIBU KANISANI KWA MAOMBI NA MAOMBEZI AU PIGA SIMU MOJA KWA MOJA KWA MCHUNGAJI KIONGOZI REV. MICHAEL COSTANTINO +255719832159

23/12/2022

SALAMU ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

KARIBU KWENYE MKESHA WA KUFUNGA MWAKA 2022 KKKT USHARIKA WA KAWE LEO DESEMBER 9 KARIBU TUSIFU TUMWABUDU MUNGU WETU KWA R...
09/12/2022

KARIBU KWENYE MKESHA WA KUFUNGA MWAKA 2022 KKKT USHARIKA WA KAWE LEO DESEMBER 9 KARIBU TUSIFU TUMWABUDU MUNGU WETU KWA ROHO NA KWELI.

  NAMNA YA KUIKABILI HOFU.KARIBU MORNING GLORY KILA SIKU JTATU-IJUMAA SAA12:00 ASUBUHI.
08/11/2022


NAMNA YA KUIKABILI HOFU.
KARIBU MORNING GLORY KILA SIKU JTATU-IJUMAA SAA12:00 ASUBUHI.

Address

Kinondoni Kawe
Dar Es Salaam
P.O.BOX60164

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Umoja Wa Vijana KKKT Kawe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Umoja Wa Vijana KKKT Kawe:

Share