Ufunuokatikaneno

Ufunuokatikaneno Ufunuo Katika Neno

27/02/2026
Jpili hii tuna ushirika wa meza ya Bwana tunawakaribisha watu wote mkaribishe na ndugu yako, rafiki yako, na mtu yeyote ...
19/02/2026

Jpili hii tuna ushirika wa meza ya Bwana tunawakaribisha watu wote mkaribishe na ndugu yako, rafiki yako, na mtu yeyote wa karibu yako aweze kushiriki ibada hii.

13/09/2025

"Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.
Yohana 11:44.

Tambua maeneo uliyofungwa ili upate kufunguliwa.

Kutokuoa/kutokuolewa hicho ni kifungo(Nira). Utasa ni kifungo(Nira), kukataliwa ni kifungo(Nira), kukosa kibali ni kifungo(Nira), umaskini ni kifungo(Nira), uzinzi ni kifungo(Nira), uwongo ni kifungo(Nira) n.k.

Sijajua ni maeneo gani umefungwa, wewe wajua.

Lazaro alifunguliwa maeneo aliyokuwa amefungwa. Kumbuka hili hakujifungua bali alifunguliwa.

Je wewe umefungwa maeneo gani? Na je unaye wa kukufungua?

Karibu katika kongamano kubwa litakalofanyika tarehe 17-21/09/2025 la kuvunja vifungo(Nira) zinazokuchelewesha kufika kwenye mafanikio yako.

Fuata maelekezo hapo chini. Ubarikiwe.

23/04/2024

Jifunze tabia za watu ili uishi nao vizuri.

Mwenye pua kubwa - ana mapito magumu.

Mwenye pua nyembamba- mkali.

Mwenye mdomo mpana- Hana hila, siyo mnafiki.

Mwenye mdomo mwembamba- ana majibu ya hovyo.

Mwenye macho meupe- hana kigeugeu.

Mwenye mwanya- hasamehi haraka, hushikiria mambo moyoni.

Mwenye ndevu chini ya pua/msitachi- mkorofi, mnafiki, mtu wa hila, alikuwa mlevi.

Mtu mwembamba- mkali k**a pilipili.

Mtu mfupi- mbishi,kiburi.

Mtu mnene- mzembe, hana mpangilio wa vitu/ mambo.

Mwenye meno makubwa- anakula sana.

HILI NALO NI DARASA USILIZARAU HATA KIDOGO.

18/09/2021

Umngoje Bwana, uwe hodari, Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.

Zaburi 27:14

07/09/2021

Karibu huduma ya UFUNUO KATIKA NENO vikindu kazole wilaya ya mkuranga.

Kwa ushauri na maombezi wasiliana nasi kwa namba 0714-257594.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255714257594

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ufunuokatikaneno posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ufunuokatikaneno:

Share

Category