31/05/2023
Alhamisi hii ni siku maalumu ambayo tutaitumia kumuenzi Baba yetu wa kiroho na mchungaji wetu John Edward Kidanha wa kanisa la MAHANAIM CHURCH TANZANIA.
Ni ibada ambayo itakuwa na programu mbalimbali k**a speeches, documentary, mahubiri na kukumbuka yote aliyoyafanya kwa ajili yetu k**a Kanisa na kwa ajili ya kuukamilisha mwili wa Kristo Bwana wetu
Ibada hii itafanyika nyumbani kwa Mchungaji John Edward Kidanha - Tegeta, Madale - DSM
Muda: Saa 11.00 jioni
Ibada hii pia itaruka mubashara kwenye YouTube channel ya kanisa la MAHANAIM - Link in bio ☝️
▫️YouTube 📺
https://youtube.com/
Share na mwenzio taarifa hii, Mungu akubariki sana 🙏
=================
#2023