Nabii Wa Bwana

Nabii Wa Bwana Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nabii Wa Bwana, Church of Christ, Dar es Salaam.

17/01/2023

KILA MCHAWI👹 ALIE ZUIA USIPIGIWE ☎️SIMU ZA PESA💵 SIMU ZA KAZI SIMU ZA BIASHARA SIMU ZA MPENZI WAKO. APIGWE KWA JINA LA YESU🙌
K**a unaamini Sema apingwe🙌

Niandikie ✍ ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee upokee muujiza wako kwajina la Yesu

NAKUTABILIA 🎀  BINTI AMBAE UNATAKA KUOLEWA HAIJALISHI UMEKATA TAMAA 2023💥 HUU NI MWAKA WAKO SASA NIANDIKIE   MAJINA YAKO...
01/01/2023

NAKUTABILIA 🎀 BINTI AMBAE UNATAKA KUOLEWA HAIJALISHI UMEKATA TAMAA 2023💥 HUU NI MWAKA WAKO SASA NIANDIKIE MAJINA YAKO NA MWEZI UNAOTAKA KUOLEWA NIKUOMBEE UPOKEE MUUJIZA WAKO KWA JINA LA YESU KRISTO 🙏

Tuandikie sms inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee upokee muujiza wako kwajina la Yesu

ROHO ZA MAJINI MAHABA NA UCHAWI YAKIVAMIA NDOA YAKO  AU MAHUSIANO, YANAHAKIKISHA YAMEWATENGANISHA💔. TABIA ZA MUME/MKE ZI...
04/12/2022

ROHO ZA MAJINI MAHABA NA UCHAWI YAKIVAMIA NDOA YAKO AU MAHUSIANO, YANAHAKIKISHA YAMEWATENGANISHA💔.
TABIA ZA MUME/MKE ZINA BADILIKA, AMANI KWENYE NDOA INATOWEKA MUME HAMFURAHII MKE WAKE NA MKE PIA HAMFURAHII MUME WAKE. UCHUMI UNAYUMBA KWENYE FAMILIA, MUME AKISHIKA PESA HAZIONEKANI, MKE AKISHIKA MIMBA ZINA HARIBIKA.
YANA HARIBU KILA JAMBO JEMA KWENYE MAISHA YAKO K**A NIBINTI HUOLEWI MWANAUME HUOI KILA UNAPOPATA MCHUMBA ALIE NA MALENGO NA WEWE KUNATOKEA SABABU YOYOTE UCHUMBA UNAVUNJIKA UNAWEZA KUKATALIWA BILA SABABU YOYOTE HIZO ZOTE NI DALILI ZA MAJINI MAHABA NA NGUVU ZA GIZA UCHAWI NA MIZIMU VISIPO ONDOKA KWENYE MAISHA YAKO HUWEZI KUFANIKIWA KUOA AU KUOLEWA HATA UKIWEZA KUOLEWA UNAWEZA KUSHINDWA KUFURAHIA NDOA AU USIZAE... KABISA. K**a unasumbuliwa na haya matatizo njoo niombe na wewe tuvunje hizo roho kwa jina la Yesu🙏🙏

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

MAOMBI MAALUM KWA YEYOTE AMBAE NYOTA💥 YAKE IMETIWA GIZA, KILA ANALOLIFANYA HALIFANIKIWI YESU🙏AMESIKIA KILIO CHAKO ANAKUF...
02/12/2022

MAOMBI MAALUM KWA YEYOTE AMBAE NYOTA💥 YAKE IMETIWA GIZA, KILA ANALOLIFANYA HALIFANIKIWI YESU🙏AMESIKIA KILIO CHAKO ANAKUFUNGUA SASA KWAJINA LA YESU

Dalili 6 za nyota kutiwa giza💥

👉1 Pesa inakukataa😰 unakosa kibali, kila unalofanya halifanikiwi unakuwa wakukataliwa tu

👉2.unakataliwa na mume mke kazi na mahusiano.

👉3.unapoteza mwelekeo wa maisha yako.

👉4.unaandamwa na roho za magonjwa na mauti

👉5 mateso hayaishi kwenye maisha yako.

👉6unakuwa mtu wa hofu mda wote hujiamini kila unachofanya unaona unakosea.😪

Tuandikie messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

YEYOTE MWENYE UGONJWA SUGU, UMEZUNGUKA HOSPITAL NA KILA SEHEM  LAKINI HAUJAFNIKIWA KUPATA MATIBABU, NAKUJUZA KUWA LEO NI...
02/12/2022

YEYOTE MWENYE UGONJWA SUGU, UMEZUNGUKA HOSPITAL NA KILA SEHEM LAKINI HAUJAFNIKIWA KUPATA MATIBABU, NAKUJUZA KUWA LEO NI SIKU YAKO YA KUPOKEA MUUJIZA🙏🙏🙏

Tuandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

MAOMBI MAALUM KWAJILI YA KUFUNGUA WOTE WANAOTAKA KUPATA WATOTO BIBLIA INASEMA HAPATA KUWA NATASA KWENYE NYUMBA YAKO PKKE...
02/12/2022

MAOMBI MAALUM KWAJILI YA KUFUNGUA WOTE WANAOTAKA KUPATA WATOTO BIBLIA INASEMA HAPATA KUWA NATASA KWENYE NYUMBA YAKO PKKEA MTOTO KWA JINA LA YESU 👏💥

Kesho Jumapili kutakuwa na maombi maalum ya kuvunja roho za kukataliwa na kufungua kila kilicho fungwa kwenye maisha yako. Tuko DSM ubungo Sheklango N.H.C tunaanza saa 3 asubuhi mpaka saa 7 mchana kwa maelekezo piga 0744083576

Nachilia kibali pesa na kupendwa pokea kwa jina la Yesu👏💥
02/12/2022

Nachilia kibali pesa na kupendwa pokea kwa jina la Yesu👏💥

MAOMBI MAALUM YA KUKU KUTANISHWA NA MTU💥, SAHIHI KWENYE MAISHA YAKO💯 ILI UFIKIE HATIMA YAKO UNAHITAJI MTU SAHIHI👉MUME SA...
02/12/2022

MAOMBI MAALUM YA KUKU KUTANISHWA NA MTU💥, SAHIHI KWENYE MAISHA YAKO💯 ILI UFIKIE HATIMA YAKO UNAHITAJI MTU SAHIHI
👉MUME SAHIHI👉MKE SAHIHI👉MARAFIKI SAHIHI👉MCHUMBA SAHIHI👉BIASHARA SAHIHI👉
👉KAZI SAHIHI👉MAHUSIANO SAHIHI💥
Na kukuondolea watu wasiofaa wote kwenye maisha yako kwa jina la Yesu 🙏🙏🙏🙏

Jumapili hii ni ibada na maombi maalum ya kukufikisha kwenye hatima yako karibu sana
tuko DSM ubungo Sheklango N.H.C. tunaanza saa 3 asubuhi mpaka saa 7 mchana, karibu sana 🙏
Kwa maelekezo ☎️0744083576💥

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

(📕ZABURI 127: 1-2💥)MAOMBI MAALUM YA KUMLINDA MUME WAKO,, MKE WAKO,, MCHUMBA WAKO,, MPENZI WAKO,, NA ROHO ZA UZINZI NA UK...
02/12/2022

(📕ZABURI 127: 1-2💥)
MAOMBI MAALUM YA KUMLINDA MUME WAKO,, MKE WAKO,, MCHUMBA WAKO,, MPENZI WAKO,, NA ROHO ZA UZINZI NA UKAHABA💥...
Kuna wanawake wengi warembo💋 wanamtamani sana mumeo😋, kwa kutumia maumbo ya miili yao na nguvu za Pesa, Cheo, hata kutumia nguvu za kichawi👹 Ili tu wampate mumeo au mkeo.🤔💘

Mume wako/Mke wako au mpenzi wako, anaweza akawa kwaasiri siyo mzinzi au muhuni lakini akaangukia kwenye mitego ya makahaba
huko kazini kwake, akakusariti💘
na kuanza tabia za umalaya bila kutegemea😪,

Ikawa ni chanzo cha ndoa au mahusiano yenu kuvunjika. Hata akasababisha laana kwenye familia na kusambalatika😢 watoto wakakosa mwelekeo.😭

Mara nyingi ukiwauliza wanaume au wanawake walio achana👐 kwenye ndoa au mahusiano yalipo vunjika💔 watakwambia walikuwa wanapendana sana❣ lakini ilikuwaje wakaachana? wanakuwa hawana majibu ya kutosha🤷‍♀️ wanaishia kusema ni shetani tu.

Nikweli nishetani lakini mlango washetani kuingia kuharibu ndoa yako au mahusiano yako alipita kwa kahaba huko ofisini kwa Mpenzi wako, na akamnasa mumeo au mkeo. 😭💘

Najua huwezi kumlinda Mumeo au Mkeo kwa kuwa haukonae muda wote, lakini Mungu🙏 anauwezo wa kumlinda mda wote kwakuwa yeye yuko nae siku zote

Hiyvo wajibu wako ni kumlinda unae Mpenda💓 kwa Maombi na kumtolea Sadaka kwa Mungu ili ziwe agano la ulinzi kwa Mumeo/Mkeo Mchumba wako au mpenzi wa moyo wako💥 maana yeye nisababu ya furaha na Amani kwenye maishayako.🙏🙏🙏

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

📕Luka 4:18)💥Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazi...
02/12/2022

📕Luka 4:18)💥
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa🙌🙌

KILA NGUVU ZA KICHAWI ZILIZO KUFUNGA ZILIZO FUNGA MUME WAKO MKE WAKO AU WATOTO WAKO NAZIVUNJA KWA JINA LA YESU.🙌🙏

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee upokee muujiza wako kwajina la Yesu 👏🙏

📕Mathayo 11🙌28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.🙌🙌.NISHIDA GANI INAK...
02/12/2022

📕Mathayo 11🙌
28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.🙌🙌.
NISHIDA GANI INAKUSUMBUA KWENYE MAISHA?
YESU YUPO KWAJILI YA KUKUTUA HUO MZIGO👉JE NIMAGONJWA👉JE NINDOA👉JE NIUMASIKINI👉KUKATALIWA👉KUKOSA PESA AU 👉UMEUMIZWA💘? NJOO YESU AKUPONYE HAYO YOTE KWA JINA LA YESU🙏🙏

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nabii Wa Bwana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share