EAGT Mnazi Mmoja church

EAGT Mnazi Mmoja church And this gospel of the kingdom will be proclaimed throughout the whole world as a testimony to all nations, and then the end will come.
-Matthew 24:14

.WOTE MNAKARIBISHWA !
10/02/2022

.
WOTE MNAKARIBISHWA !

.WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA BURE.WOTE MNAKARIBISHWA!!!
31/12/2021

.
WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA BURE.
WOTE MNAKARIBISHWA!!!

.Picha ya walimu wa watoto wa Kanisa la EAGT Mnazi Mmoja wakiwa pamoja na Mch. Dr. Nsajigwa Mwaisaka na mama Mchungaji s...
31/12/2021

.
Picha ya walimu wa watoto wa Kanisa la EAGT Mnazi Mmoja wakiwa pamoja na Mch. Dr. Nsajigwa Mwaisaka na mama Mchungaji siku ya mwisho ya Semina na wiki ya watoto tarehe 26/12/2021.

.Picha ya pamoja ya watoto Chipukizi Wa Injili (CWI) wakiwa na Mch. Dr. Nsajigwa Mwaisaka na mama katika siku ya hitimis...
31/12/2021

.
Picha ya pamoja ya watoto Chipukizi Wa Injili (CWI) wakiwa na Mch. Dr. Nsajigwa Mwaisaka na mama katika siku ya hitimisho ya wiki ya watoto kanisani EAGT Mnazi Mmoja. Mstari wa nyuma ni walimu wa watoto hao.

.MCH. Dr. Nsajigwa Mwaisaka akihubiri katika moja ya ibada ya Jumapili kanisani Mnazi mmoja.
03/09/2021

.
MCH. Dr. Nsajigwa Mwaisaka akihubiri katika moja ya ibada ya Jumapili kanisani Mnazi mmoja.

03/09/2021
.Mwalimu wa taifa na mtumishi wa siku nyingi kutoka kanisa la EAGT Temeke, akiendesha Semina katika Kanisa letu la EAGT ...
31/08/2021

.
Mwalimu wa taifa na mtumishi wa siku nyingi kutoka kanisa la EAGT Temeke, akiendesha Semina katika Kanisa letu la EAGT Mnazimmoja.

.Washirika wakiwa ibadani wakati Mwalimu wa taifa Leonita Mbodo akiendesha semina katika kanisa letu la EAGT Mnazimmoja.
31/08/2021

.
Washirika wakiwa ibadani wakati Mwalimu wa taifa Leonita Mbodo akiendesha semina katika kanisa letu la EAGT Mnazimmoja.

.Muinjilisti wa taifa Leonita Mbodo akiendesha Semina katika kanisa la EAGT Mnazimmoja.
31/08/2021

.
Muinjilisti wa taifa Leonita Mbodo akiendesha Semina katika kanisa la EAGT Mnazimmoja.

.Mch. Kiongozi wa EAGT Mnazimmoja, Dk. Nsajigwa James Mwaisaka baada ya kutunukiwa shahada ya udaktari wa theolojia.
31/08/2021

.
Mch. Kiongozi wa EAGT Mnazimmoja, Dk. Nsajigwa James Mwaisaka baada ya kutunukiwa shahada ya udaktari wa theolojia.

Address

P. O BOX 2696. EAGT HQ Buildings/Keko Darajani, Near Mkuki House, Nyerere Road
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Mnazi Mmoja church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category