Biblia mwanaga wa Dunia

Biblia mwanaga wa Dunia Biblia mwanga wa dunia

17/01/2026
Mathayo 28;19
27/12/2025

Mathayo 28;19

Ufunuo wa Yohana 18:4[4]Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiri...
26/12/2025

Ufunuo wa Yohana 18:4
[4]Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
And I heard another voice from heaven, saying, Come out of her, my people, that ye be not partakers of her sins, and that ye receive not of her plagues.

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

Ufunuo wa Yohana 17:3-5[3]Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, ...
26/12/2025

Ufunuo wa Yohana 17:3-5
[3]Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.
So he carried me away in the spirit into the wilderness: and I saw a woman sit upon a scarlet coloured beast, full of names of blasphemy, having seven heads and ten horns.
[4]Na mwanamke yule alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake.
And the woman was arrayed in purple and scarlet colour, and decked with gold and precious stones and pearls, having a golden cup in her hand full of abominations and filthiness of her fornication:
[5]Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.
And upon her forehead was a name written, MYSTERY, BABYLON THE GREAT, THE MOTHER OF HARLOTS AND ABOMINATIONS OF THE EARTH.

18/08/2022

!

~Ni ugonjwa ambao mtu hupata michubuko au vijitundu katika kuta za ndani za viungo vya umeng'enyaji au uyeyushaji chakula.

•AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO.
1/ Oesophagael Ulcers - ni vidonda ambavyo hutokea kwenye koo.
2/Duodenum ulcers - ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo Mdogo.
3/Gastric Ulcers - ni vidonda ambavyo hutokea kwenye mfuko wa chakula (TUMBO).

"CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO.
~Kushinda mda mrefu bila kula.
~Msongo wa mawazo (Stress).
~Matumizi ya dawa kwa mda mrefu,mfano aspirin
~H plyori hutengeneza enzymes (urease)ambayo hupunguza makali ya tindikali.
~Matumizi ya pombe na tumbaku kwa mda mrefu.
~Bacteria(helicobacteria).

•DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO.
~Maumivu ya tumbo
~Tumbo kujaa gesi/kunguruma
~Kichefuchefu na kutapika.
~Kupungua uzito
~Kupata choo cheusi
~Kupatwa na kiungulia
~Kushiba kwa mda mfupi
~Kutapika damu au k**a mabaki ya kahawa.

MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO
~Kupata saratani ya tumbo
~Kuziba Kwa njia ya chakula
~Kuathiri ini na kongosho
~Kusababisha tundu kafika tumbo na kusababisha tumbo kutoboka Kwa ukuta wa tumbo

Tatizo la vidonda limekuwa changamoto Kwa watu wengi na hawajui ni Kwa namna gani wataliondoa. Habari njema ni kuwa Sasa suluhisho lake lipo na la uhakika. Zipo tibalishe Bora kabisa ambazo ikiwa mgonjwa atazitumia Kwa usahihi basi tatizo lake litabaki kuwa historia yaani litakwisha kabisa.

Kuzipata tibalishe hizi tafadhali wasiliana nasi kupitia nambari zifuatazo:
+255 712 976 307 au
0759 025393



Njoo unufaike na punguzo kabambe wakati wa msimu huu wa sensa. OFA hili itaisha Jumatano ya tarehe 24 August 2022. Utapata tibalishe hizi Kwa punguzo la 15% Kwa Kila Moja.

14/06/2020

Address

Dar Es Salaam
0759025393

Telephone

+255759025393

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Biblia mwanaga wa Dunia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Biblia mwanaga wa Dunia:

Share