agustino6324

agustino6324 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from agustino6324, Religious organisation, Dar es Salaam.

Niambie nini unakumbuka?
27/11/2021

Niambie nini unakumbuka?

Je, wewe Ni katika wale watu wanao angamia kwa kukosa maarifa, tambia kuwa maarifa anayo Mungu, hivyo lejea kwa Mungu na...
03/06/2021

Je, wewe Ni katika wale watu wanao angamia kwa kukosa maarifa, tambia kuwa maarifa anayo Mungu, hivyo lejea kwa Mungu naye atakupa maarifa. Amen

Mungu ndiye anaye takiwa tumuweke mbele kuliko kitu chochote Amen
02/06/2021

Mungu ndiye anaye takiwa tumuweke mbele kuliko kitu chochote Amen

01/06/2021

Zaburi 66:3
[3]Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha k**a nini!
Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako,
Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.

NGUVU YA SHUKRANI 2. Mshukuruni Mungu kwa kila jambo hata jinsi ulivo Mshukuru Mungu , na tambua kutenganisha Nuru na gi...
11/01/2021

NGUVU YA SHUKRANI 2.
Mshukuruni Mungu kwa kila jambo hata jinsi ulivo Mshukuru Mungu , na tambua kutenganisha Nuru na giza yaani elewa kutenganisha jambo JEMA na jambo baya hapo utafaulu,
Usiwadai ulio watendea wema, na wao wakulipe wema, utakuja kuwaona wabaya bule, maana Mtu kukumbuka wema ulio mtendea ni Ngumu sana mpaka awe Mtu wa shukrani ndiye anaye weza kukumbuka, hivo nikumshukru MUNGU kwasababu umemtendea jambo fulani na KUMUOMBEA kwa Mungu naye aje afanye vivo hivo kwa watu wengine, lakini chonde usimwinue Mtu ukitumaini kuwa atakuinua na wewe never yaani sahau maana utajipa stress tu.

Mtu mwenye Shukruni ndiye mwenye tabasamu, na Mtu asiye na shukrani Huyo tunaita muasi, maana muasi haliziki muasi hutamani vyote vya duniani, kumbuka hapa duniani hatuna chetu ila Mbinguni tunachetu, hapa siyo kwetu,
Luka 4:6
[6]Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote k**a nipendavyo. ........ Ukisoma hicho kisa cha ibilisi utajua kuwa kweli hapa hatuna chetu hivo tusing'ang'anie vya Shetani tushike chakwetu ili tufike mbinguni , hivo yatupasa kushukru Mungu, Mshukruni Mungu ili awabariki, awape na uweza wa kutenganisha baya na JEMA. The And.

Mwanzo wa INJILI ya Yesu Kristo, mwana wa Mungu.      K**a ilivyo andikwa katika nabii Isaya, Tazama, namtuma mjumbe wan...
13/11/2020

Mwanzo wa INJILI ya Yesu Kristo, mwana wa Mungu. K**a ilivyo andikwa katika nabii Isaya, Tazama, namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako, atakaye itengeneza njia yako. Sauti ya Mtu aliye nyikani, Itengenezeni njia ya Bwana yanyosheni mapito yake.
Yohana alitokea, akibatiza nyikani, na kuuhubili ubatizo wa toba liletalo ondoleo la dhambi. Wakamwendea Nchi yote ya uyahudi, nao wa Yerusalemu wote, wakabatizwa katika mto Yordan, wakiziungama Zambia zao.
Ikawa siku zile, YESU alikuja kutoka Nazareth ya Galilaya, akabatizwa na Yohana katika Yordan. Mara alipo panda kutoka majini, akaona mbingu zinafunguka, na roho, k**a hua, akishuka juu yake; nasauti ikatoka mbinguni, wewe ndiwe mwanangu mpendwa wangu nimependezwa NAWE.

Hata baada ya Yohana kutiwa gerezani, YESU akaenda Galilaya, akihubili habari njema ya Mungu, akisema, Wakati umetimia, na UFALME wa Mungu umekaribia; tubuni na kuiamini INJILI.
Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa maana amenitia mafuta kuwahubili maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, na vipofu kupata kuona tena, kuwaacha huru wasiosetwa. GOD'S PLAN.

Shetani anahisia gani kwa watu wanao endesha maisha yao kwa kufuata amri kumi za Mungu? ''Joka akamkasirikia yule mwanam...
12/11/2020

Shetani anahisia gani kwa watu wanao endesha maisha yao kwa kufuata amri kumi za Mungu? ''Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake walio salia, wazishikao amri za Mungu. '' Ufu. 12:17. '' hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya YESU KRISTO. ``
Shetani anawachukia watu wanao Shika Amri za Mungu ambazo ni kipimo cha maisha ya unyoofu.
Je, unaamini kuwa nilazima Mkiristo ashike Amri kumi za Mungu?
Katika Yohana 15:10 YESU KRISTO anasema, ''k**a vile mimi nilivyo zishika amri za Baba yangu (Amri kumi) na kukaa katika pendo lake. "
Je, unakusudia kupita katika za Yesu Kristo na kuzishika amri zakeili ukae katika pendo lake?
Je, unampenda YESU KRISTO kiasi cha kuzitii amri zake kwa FURAHA?
UAMUZI WANGU___________________________

*_AMRI 10 ZA KUSHINDA TATIZO_*_1.Lazima Ujue Mungu ni mkubwa kuliko Tatizo.__2.Usilitukuze Tatizo bali Mtukuze Mungu.__3...
14/10/2020

*_AMRI 10 ZA KUSHINDA TATIZO_*

_1.Lazima Ujue Mungu ni mkubwa kuliko Tatizo._

_2.Usilitukuze Tatizo bali Mtukuze Mungu._

_3.Usilipe Tatizo Muda Mrefu wa kulitafakari bali Mtafakari Mungu kwa Muda mrefu Na utafakari uweza wake._

_4.Msifu Mungu katikati ya Tatizo lako,Maana Unaposifu unaondoa roho ya Huzuni, ambayo ndiyo humdidimiza Mtu wakati wa Tatizo._

_5.Usilifanye Tatizo liwe sehemu ya Maisha, maana Ukilifanya kuwa ni sehemu ya maisha umelipa kibali cha kudumu maishani mwako._

_6.Usikiri kushindwa bali Kiri Ushindi maana Umeahidiwa ushndi kwa kila jambo._

_7.Usitazame Watu wanasema nini juu ya shida yako, bali Litazame Neno la Mungu ambao ndiyo Mwamba wako uliposimama... na Upepo (Tatizo) haliwezi kukutikisa Milele._

_8.Usimweleze kila Mtu juu ya shida yako, maana wengine watakucheka, wengine hawatakuwa na chakukusaidia japo watakuonea Huruma, bali mweleze Mungu._

_9.Wakati wa Tatizo ndiyo wakati wa kudumu katika kutazama Ndoto za Maisha yako, maana lengo la Tatizo ni kukuondoa kwenye njia za ndoto zako._

_10.Mshukuru Mungu Kwa kila Jambo......✍

God's plan.

Ndugu yangu kuwa makini sana katika kuwatende watu ubaya, utambue yakwamba ukitenda ubaya kwa Mtu basi hicho kitu ulicho...
07/10/2020

Ndugu yangu kuwa makini sana katika kuwatende watu ubaya, utambue yakwamba ukitenda ubaya kwa Mtu basi hicho kitu ulicho mtendea kitarudi kwako kije kimalizie kazi.

Hivo WAPENDWA tuweni watu wenye UPENDO ndani yetu ili tuweze kulipwa mema, maana katika pendo huwezi mtendea mtu ubaya,
MUNGU aliye Juu Mbinguni akubariki. 📖🙏

Hivo MPENDWA jitahidi kuishi na ndoto, ukiishi bila ndoto huwezi songa mbele , yaan nik**a saa iliyopoteza Majira.  Unaj...
26/09/2020

Hivo MPENDWA jitahidi kuishi na ndoto, ukiishi bila ndoto huwezi songa mbele , yaan nik**a saa iliyopoteza Majira.
Unajua ndoto Example, unatoka Dar es salaam unaelekea Dodoma, hivo
Bila kuwa na ndoto ya kuelekea Dodoma huwezi kwenda kwahiyo ndoto ni kujua unaelekea wapi. Lakini katika yote mtangulize Mungu, Amen.

Naam, Bwana Mungu asema hivi, Yeye ni Bwana wa wote wenye mwili je kuna lakumshinda? Jibu hapana sijawahi kusikia Mungu ...
15/09/2020

Naam, Bwana Mungu asema hivi, Yeye ni Bwana wa wote wenye mwili je kuna lakumshinda?

Jibu hapana sijawahi kusikia Mungu aliye hai ameahindwa, sisi tu tunashindwa kujenga mahusiano mazuri na Bwana Mungu wetu,
WAPENDWA tuweni watu wa maombi na sala kwamaana Mungu hatatuacha, kwasababu yeye hushuhulika na maisha yetu, Amen.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when agustino6324 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share