Pathfinder Club Mbezi Luis Sda church

Pathfinder Club Mbezi Luis Sda church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pathfinder Club Mbezi Luis Sda church, Religious organisation, Mbezi luis, Dar es Salaam.

Word Pathfinder dayMgwenya Hezron Max M Michael
22/09/2025

Word Pathfinder day
Mgwenya Hezron
Max M Michael

Pathfinder wakiendelea kupata masomo ya nishani online yanayoendeshwa na mkurugenz wa idara vijana SEC
08/08/2022

Pathfinder wakiendelea kupata masomo ya nishani online yanayoendeshwa na mkurugenz wa idara vijana SEC

Uvishaji mkubwa wa nishani na vyeti ulifanyika vyema kanisan mbezi luis..
30/01/2022

Uvishaji mkubwa wa nishani na vyeti ulifanyika vyema kanisan mbezi luis..

Idara ya vijana katika jimbo la kusini mashariki mwa Tanzania inawaalika katika kambi la vijana litakalofanyika makurung...
02/12/2021

Idara ya vijana katika jimbo la kusini mashariki mwa Tanzania inawaalika katika kambi la vijana litakalofanyika makurunge relini kuanzia tarehe 12-18/12/2021...karibuni sana

Ilikuwa ni siku njema sana katika kanda yetu ya mbezi...tulibarikiwa sana....siku maalumu ya kanda iliyofanyika kanisani...
22/02/2021

Ilikuwa ni siku njema sana katika kanda yetu ya mbezi...tulibarikiwa sana....siku maalumu ya kanda iliyofanyika kanisani malamba mawili

Karibuni sana katika siku hii muhimu kwa kanda ya MBEZI
12/02/2021

Karibuni sana katika siku hii muhimu kwa kanda ya MBEZI

Tunamshukuru Mungu Kwa sabato ya tarehe 23 Mwezi wa kwanza maana siku hiyo watafutanjia tulitunukiwa pini zetu za madara...
25/01/2021

Tunamshukuru Mungu Kwa sabato ya tarehe 23 Mwezi wa kwanza maana siku hiyo watafutanjia tulitunukiwa pini zetu za madarasa...... Na siku hiyohiyo tulifanya INDUCTION CEREMONY

It was very special day(Word pathfinder day)
27/09/2020

It was very special day

(Word pathfinder day)

17/09/2020
15/09/2020

Address

Mbezi Luis
Dar Es Salaam

Telephone

+255787163337

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pathfinder Club Mbezi Luis Sda church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share