Eagt Makimbilio Chato

Eagt Makimbilio Chato Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Eagt Makimbilio Chato, Full Gospel Church, Chato.

Kanisa la EAGT MAKIMBILIO CHATO liko chini ya Mchungaji Emmanuel Kaselya Linapatikana katika Mji wa Chato, Mtaa wa kalema karibu na Gatini ni k**a Mita 860 kutoka chato mjin kwa mawasiliano PIGA +255 759 418 608 MCH.EMMANUEL KASELYA

WAMAMA WA INJILI (WWWI) wategemeza, hii haijawahi kutokea, kutegemeza maeneo manne kwa wakati mmoja. Mungu awabariki san...
02/08/2026

WAMAMA WA INJILI (WWWI) wategemeza, hii haijawahi kutokea, kutegemeza maeneo manne kwa wakati mmoja. Mungu awabariki sana.

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

WAMAMA WA INJILI (WWI) Kwa ubunifu huu wa ngonjera mubarikiwe sana.

WAMAMA WA INJILI hii ni kweli injili yenye ubunifu hongereni sana wa wamama kweli ni jeshi kubwa.

Ujumbe mzito kwa WAMAMA WA INJILI (WWWI) - Mkurugenzi wa wamama atoa neno kwa WAMAMA WA EAGT MAKIMBILIO GATINI CHATO Jim...
02/08/2026

Ujumbe mzito kwa WAMAMA WA INJILI (WWWI) - Mkurugenzi wa wamama atoa neno kwa WAMAMA WA EAGT MAKIMBILIO GATINI CHATO Jimbo la Chato>>

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

02/08/2026

Hongera WAMAMA WA INJILI (WWWI) - JESHI KUBWA kwa sherehe yenu nzuri na wimbo mzuri.

02/08/2026

Sifa katika Ibada ya jumapili njema ya Bwana tarehe 02/08/2026. Karibu tumuabudu Mungu pamoja nasi EAGT MAKIMBILIO GATINI CHATO

Hongera kaka mwankina kwa hatua nzuri. Mungu akutangulie   wa tisa, Mungu wa Mbinguni atukuwezesha   tuko pamoja.
29/06/2026

Hongera kaka mwankina kwa hatua nzuri. Mungu akutangulie wa tisa, Mungu wa Mbinguni atukuwezesha tuko pamoja.

26/04/2026

Mungu awabariki wana praise kwa wimbo mzuri wa tenzi.

26/04/2026

Karibu usikilize wimbo mzuri simama hapo ulipo

Address

Chato
30301

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eagt Makimbilio Chato posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Eagt Makimbilio Chato:

Shortcuts

Share