MBONI YA BWANA Ministries

MBONI YA BWANA Ministries MBONI YA BWANA INAONA
ZABURI 139:7-12
This page is for Gospel. Ukurasa huu ni kwa ajili ya injili

14/01/2026

DAY 2

13/01/2026

SIKU YA KWANZA

05/01/2026

MFUNGO WA SIKU 6. (DAY 5)
AGENDA: Kuombea viumbe vya kwenye maji, kuombea ndege (ni pamoja na ndege wa kufugwa). Omba ongezeko kwenye mifugo kwa wanaofuga. Kataa magonjwa kwenye mifugo yetu (jamii ya ndege, mfano, kuku, bata, n.k)
MWANZO 1:20-23

04/01/2026

NIMEONA KITU MSITUNI
👇

04/01/2026

MFUNGO WA SIKU 6
DAY4: Omba kujitenga na giza (uovu) mwaka 2026. Omba Mwanga wa Mungu ukuangazie mwaka mzima. Akuangazie kazini, shambani, ofisini, dukani safarini n.k. Ombea majira yote ndani ya mwaka huu yaamriwe na Mungu. Kataa majira ya magonjwa. Hakuna cha kipindupindu wakati wa masika.
MWANZO 1:14-19

03/01/2026

MFUNGO WA SIKU 6
DAY 3 : OMBEA ARDHI, VYANZO VYA MAJI. PIA OMBEA ONGEZEKO (KUZAA MATUNDA)

MWANZO 1:9-13

02/01/2026

MFUNGO WA SIKU 6.
SIKU YA PILI (DAY TWO).
AGENDA: KUOMBEA ANGA

01/01/2026

SIKU YA 1 OMBI LETU NI
"KUUMBA NURU NA KUONDOA GIZA" kwenye maisha yetu. K**a vile Mungu alivyoumba Nuru siku ya kwanza, nasi siku ya kwanza ya maombi tunaumba nuru. (MWANZO 1:1-5)
Fuatilia video hii👉👇

DAY ONETar 1/1/2026Ukijisikia mzigo huu rohoni, na wewe funga
01/01/2026

DAY ONE
Tar 1/1/2026
Ukijisikia mzigo huu rohoni, na wewe funga

16/08/2025
28/06/2025

USIAPE. by Frank Mwakapeta

Address

Chato

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MBONI YA BWANA Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share