Jehovah jire ministry for all nations

Jehovah jire ministry for all nations Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jehovah jire ministry for all nations, Religious organisation, Bunju.

Somo: NGUVU YA SHUKURANI.‎>kuwa na moyo wa shukurani ni jambo lenye nguvu sana na linaugusa moyo wa Mungu‎              ...
10/08/2026

Somo: NGUVU YA SHUKURANI.
‎>kuwa na moyo wa shukurani ni jambo lenye nguvu sana na linaugusa moyo wa Mungu
‎ >> wakolosai 1:12-13.
‎> shukurani inafunguwa Baraka zilizokuwa zimekwama kufunguka.
‎> mtu mwenye moyo wa shukurani ana mafanikio makubwa sana.
‎> watu wengi wamezoea kushukuru wakati wa mazuri tu pasipo kujua hata kwenye Yale mazito Huwa ni vipimo.
‎ >> matendo 16:25-26
‎>Paulo na sira walipita kwenye kipindi kigumu sana lakini hawakuacha kumshukuru Mungu.
‎> walipomshukuru Mungu kwenye magumu waliyo kuwa wakipitia Mungu alifanya njia milango ikafunguka.
‎ >> 2nyakati 20:21-
‎>mfalme yehoshafati alipo kuwa amezingirwa na maadui haku sumbuka alicho kifanya alianza kusifu Mungu utaona yehoshafati alishinda kwa kumsifu Mungu.
‎> unapopita kwenye magumu usisahau kumshukuru Mungu pengine hapo unapopita ni kipimo cha Mungu anaipima imani yako je? Utaendelea kumpenda.

26/07/2026
The last Sunday of the month"7", don't miss it
25/07/2026

The last Sunday of the month"7", don't miss it

Somo: VITU VINAVYO UWA MALENGO              KWENYE MAISHA YAKO.>>Mungu alipo muumba mwanadam alimuumba ili atawale na ku...
19/07/2026

Somo: VITU VINAVYO UWA MALENGO
KWENYE MAISHA YAKO.
>>Mungu alipo muumba mwanadam alimuumba ili atawale na kumiliki.
>>Kuna watu Leo wanaishi maisha yasiyo yao photocopy life , fake life, kwa sababu ya hizi Roho.
1.ROHO YA UOGA.
>> waebrania 10:35.
>>Moja Kati ya siraha anazo zitumia shetani kuuwa hatima ya mwanadam ni Roho ya uoga.
> unapo kosa ujasiri unakosa kuthubutu kufanya jambo lolote.
> watu wengi Leo wangekuwa wameisha fanikiwa zamani lakini kwasababu ya hii Roho Bado wanateseka.
>> kuogopa maana yake nini.
a) kuogopa kuanza biashara.
b) kuogopa kuanza lile unalo liwaza.
c) kuogopa kuchukuwa hatua kubwa.
d) kuogopa kuanza uchumba.
2.KUKOSA SUBILA.
>waebrania 11:11
> hii ndio shida inayo watesa watu wengi
>> unapo muomba Mungu jambo lolote yakupasa usubilie kwa uvumilivu.
>> kila jambo la Mungu Lina mda wake.
>> kutokuwa na Roho ya SUBILA kunauwa maono na MALENGO uliyo kuwa nayo.
3.KUKOSA MOYO WA SHUKURANI.
>> Moja ya vitu vinavyo funga Baraka ni kukosa Roho ya SHUKURANI.
>> SHUKURANI inafanya maono yasitawi
>> 1wakorinto 10:10.
>> unapo kuwa na jambo lako kwa Mungu kuwa makini na uanze kumshukuru utaona vitu vinapenya.

Somo: KUVUNJA ROHO YA WASITANI.∆ Roho ya wasitani ni Roho mbaya sanaimesababisha watu wengi kupoteza hatima zao.        ...
28/06/2026

Somo: KUVUNJA ROHO YA WASITANI.
∆ Roho ya wasitani ni Roho mbaya sana
imesababisha watu wengi kupoteza hatima zao.
>> zaburi 66:12.
> Tunaona anasema , walipandishwa watu kwenye vichwa vyao.
∆ Kuna vitu Mungu anaweza akaviruhusu vitokee kwenye maisha yako sio kukuumiza , ila kukufanya uamke .
>> unaweza ukawa upo kwenye mazingira Yale Yale , kazi Ile Ile kwa mda mrefu , Mungu akaamua kusababisha jambo zito ili akutoke ilo eneo apate kukubariki katika eneo la Baraka zako .
>> Roho ya wasitani ni Ile hali ya kubaki vile vile huwezi kuwa na mawazo ya kuongezeka
>> 2 wafalume 6:1-2.
>> utaona hapa Wana wa manabii walichoka na mazingira ya uchache uliokuwepo .
>> Wana wa manabii walipata ufahamu wa kutoka kwenye mazingira ya uchache na kuongezeka
∆ unaweza ukawa kwenye biashara hio biashara haiongezeki.
∆ unaweza ukawa na familia lakini hio familia inapitia Roho za mateso.
∆ unaweza ukawa na ofisi lakini hio ofisi haiongezeki.
>> wachawi siku zote wanawatupia watu Roho za ukawaida ili wasije wakapata akili ya kuongezeka.
OMBA MAOMBI HAYA.
>>sema Bwana Yesu, nifungue kutoka kwenye hizi Roho za kubaki vile vile omba dakika 10.
>> sema Bwana Yesu nipeleke kule ziliko Baraka zangu, nioneshe nifanye Nini ili nitoke kwenye hali mbaya niliyo nayo omba dakika 10. Mungu akubariki sana

Address

Bunju

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jehovah jire ministry for all nations posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share