Migungani Seventh-Day Adventist Church

Migungani Seventh-Day Adventist Church This is an official page for Migungani Seventh-Day Adventist Church in Bunda, Mara. E-mail: [email protected]

06/03/2026
Sheria ya Waamedi isiyobadirika ilitaka kutumika vibaya dhidi ya watu wa Mungu. Lakini haki ya Mungu ilitawala. Waliweka...
06/02/2026

Sheria ya Waamedi isiyobadirika ilitaka kutumika vibaya dhidi ya watu wa Mungu. Lakini haki ya Mungu ilitawala. Waliweka mtego kwa Daniel, wakajikuta wameangamia wao wenyewe. Endelea kumuamini huyu Mungu bila kujali taratibu kandamizi za wanadamu.

OUT NOW 👇🏼👇🏼👇🏼

https://youtu.be/0A1u1A_bA-w?si=DVWqLvBTbyc_LyQ3

*SUBSCRIBE*
*LIKE | SHARE | COMMENT*

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

06/02/2026

KARIBU KATIKA RAHA YA SABATO
Mwanzo 1:1-31
Mwanzo 2:1-2

Ujenzi wa Kanisa Jipya na la Kisasa ukiwa unaendelea
04/02/2026

Ujenzi wa Kanisa Jipya na la Kisasa ukiwa unaendelea

https://youtu.be/tHM9wVTvbn4?si=MitH6IpnO331ZcMW🚑⚰️Siku zetu ni fupi kwa sababu kifo hakiepukiki, jambo linaloleta majon...
03/02/2026

https://youtu.be/tHM9wVTvbn4?si=MitH6IpnO331ZcMW
🚑⚰️
Siku zetu ni fupi kwa sababu kifo hakiepukiki, jambo linaloleta majonzi na kutukumbusha udhaifu wa maisha. Ndiyo maana ni muhimu kumuomba Mungu atufundishe kuhesabu siku zetu, ili tuishi kwa hekima, kumcha Mungu, na kutumia vyema kila wakati tuliopewa.

KARIBU USIKILIZE WIMBO HUU WA PEKEE

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

02/02/2026

Kwaya ya Kanisa, Migungani SDA Choir iliposhiriki mahubiri ya Nyamongo Net Event, Mara. Tarehe 08.10.2021

Unaweza kugusa kiunganishi hiki ilikuwasupport katika Youtube channel yao.

https://youtube.com/?si=m8s3UtdWciCMY3eZ

Usisahau Ku-Subscribe, Like na Ku-Share. Kumbuka pia kugusa kikengere ili uwe unapata taarifa mara moja pindi video mpya zitakapopandishwa hewani.

BARIKIWA

Migungani SDA ChoirUsisahau Ku-Subscribe, Like na Ku-Share. Kumbuka pia kugusa kikengere ili uwe unapata taarifa mara mo...
30/01/2026

Migungani SDA Choir

Usisahau Ku-Subscribe, Like na Ku-Share. Kumbuka pia kugusa kikengere ili uwe unapata taarifa mara moja pindi video mpya zitakapopandishwa hewani. Karibu

Share your videos with friends, family, and the world

Address

Migungani
Bunda

Opening Hours

Wednesday 17:00 - 17:59
Friday 18:30 - 19:00
Saturday 08:00 - 18:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Migungani Seventh-Day Adventist Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Migungani Seventh-Day Adventist Church:

Share