EAGT-Mlima Wa Ahadi Rwome Bukoba

🙏
14/12/2025

🙏

Mwanzo 30:40-43[40]Na Yakobo akawatenga wana-kondoo, akazielekeza nyuso za makundi zielekee wale waliokuwa na milia, na ...
14/12/2025

Mwanzo 30:40-43
[40]Na Yakobo akawatenga wana-kondoo, akazielekeza nyuso za makundi zielekee wale waliokuwa na milia, na kila aliyekuwa mweusi katika wanyama wa Labani. Akaweka kando wanyama wake mwenyewe, wala hakuwachanganya pamoja na wanyama wa Labani.
[41]Ikawa kila walipopata mimba wanyama wenye nguvu, Yakobo akaziweka zile fito mbele ya macho ya hao wanyama katika mabirika ili kwamba wachukue mimba kati ya zile fito,
[42]lakini wanyama walipodhoofika hakuziweka zile fito. Basi wale dhaifu walikuwa wa Labani, na wenye nguvu walikuwa wa Yakobo.
[43]Kwa hiyo mtu huyo akazidi mno, akawa na wanyama wengi, na vijakazi, na watumwa, na ngamia, na punda.

Luka 19:10Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea. For the Son of man is come to seek and t...
13/10/2025

Luka 19:10
Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.
For the Son of man is come to seek and to save that which was lost.
Ungani nasi Live kila Jumapili kuanzia saa 4:00 Asubuhi kupitia ukurasa wetu wa Youtube

https://youtube.com/-mlimawaahadirwomebukoba?si=3PsUg-kD4AVeL0AT
Na Mungu akubariki🙏

05/10/2025

Address

Bukoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT-Mlima Wa Ahadi Rwome Bukoba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share