TAG-Kabare Christian Center

TAG-Kabare Christian Center KARIBU KWENYE KANISA LETU ZURI LA TAG-KABARE CHRISTIAN CENTER UPATE MSAADA NA HAKI YA MAISHA YAKO.

24/03/2024

TENGENEZA NA MUNGU WAKATI HUU YESU ANARUDI

24/03/2024

YESU YUKO HAI HATA LEO

24/03/2024

Mungu awabariki sana watu wa ITAHWA na kanisa la TAG-KABARE

24/03/2024

Tunamshukur Mungu tulikuwa na Mkutano wa Injili Bukoba Vijijini Kata ya Karabagaine Kijiji Cha ITAHWA Tulimuona Mungu

Ndugu zangu ninawasalimu wote katika Jina la Bwana Yesu..........., Ninachukua nafasi hii kuwaomba radhi Kwa utapeli uli...
24/03/2024

Ndugu zangu ninawasalimu wote katika Jina la Bwana Yesu..........., Ninachukua nafasi hii kuwaomba radhi Kwa utapeli uliofanyika kupitia Account yangu katika Post iliyopita,
Kuna mtu aliingilia Account yangu na kuchapisha chapisho la Uongozi na akiwathibitishia watu kuwa ni kweli Nimeipokea Pesa, Huo ni uongo na mtu yeyote usijaribu kabisa kukrik link hiyo hakuna Pesa yoyote utakayopokea zaidi ya kuibiwa,
Pia walianza kuomba Pesa kupitia Messanger pia usitume Pesa yoyote.

Wakati maadhimisho ya miaka 85 ya Kanisa letu zuri la TAG yakiwa yamepamba moto jipatie na Vitambaa vizuri Vizito vya mk...
18/03/2024

Wakati maadhimisho ya miaka 85 ya Kanisa letu zuri la TAG yakiwa yamepamba moto jipatie na Vitambaa vizuri Vizito vya mkononi Vyenye kiwango Cha Mwana wa Ufalme wa Mungu Kwa bei nafuu sana Karibuni. 0742 501 286

Ni mojawapo ya matukio Muhimu sana katika Mchakato wa kuendelea Kuujenga Ufalme wa Mungu Kimkakati na Revival Time Progr...
18/03/2024

Ni mojawapo ya matukio Muhimu sana katika Mchakato wa kuendelea Kuujenga Ufalme wa Mungu Kimkakati na Revival Time Program Team Mungu awabariki sana

We great you all in the Powerful name of Jesus.........!We introduce to you our Vision Called "REVIVAL TIME PROGRAM" IS ...
06/03/2024

We great you all in the Powerful name of Jesus.........!
We introduce to you our Vision Called "REVIVAL TIME PROGRAM" IS THE PROGRAM OF ENCOURAGING AND SUPPORTING NASCENT CHURCHES BUKOBA SOUTH MANISPAL SECTION THROUGH CHRIST AMBASSADOR’S DEPARTMENT (CA’s)
Now we bring to you the chance of Excluding God's Blessings through giving your Offering.
We receive your Offering through CRDB Bank Account 015C861112300.
A/C Name: IDARA YA CAs SECTION YA KUSINI
And through M-PESA: 0769193784 NAME: HOSEA JOSEPH Only.

Tunakusalimu Kwa jina kuu la Bwana Yesu,Kupitia Idara ya Vijana tunakuletea Maono yatakayo kusababisha na wewe kuteka Ba...
06/03/2024

Tunakusalimu Kwa jina kuu la Bwana Yesu,
Kupitia Idara ya Vijana tunakuletea Maono yatakayo kusababisha na wewe kuteka Baraka za Mungu,
Ni Maono ya kufadhili na kutia moyo Makanisa Yaliyopandwa BUKOBA MANISPAA ili Ufalme wa Mungu ujengwe jina la Yesu liinuliwe Kwa kununua Viwanja, kujenga Majengo mazuri ya muda na ya Kudumu na kununua Vyombo vya Mziki.
Wakati tunachangia harusi, Misiba, n.k kutoa kwaajili ya Bwana kunaweza kubadilisha maisha yako kabisa, ziko Baraka nyingi katika utoaji
Tunapokea sadaka yako Kupitia A/C hii tu ya Bank ya CRDB.
A/C No. 015C861112300.
A/C Name: IDARA YA CAs SECTION YA KUSINI.
M-PESA: 0769193784 JINA: HOSEA JOSEPH
Usipitwe na hii Haina Dini Wala dhehebu Karibuni watu wote.

Address

Bukoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG-Kabare Christian Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to TAG-Kabare Christian Center:

Share