Beatus Benedicto

Beatus Benedicto Ingia Whatsapp Channel search Beatus Benedicto, utaniona ni follow Ili uwe unaona hizi Sala mapema bila kupotea I proud of my professors

I'm a Catechist student at catechetical school in Catholic theology and catholic traditional practices, I'm pursuing the course related to churche's vocations and history,since 2021.

Amina  fans
07/06/2026

Amina fans

AminaπŸ™
07/06/2026

AminaπŸ™

07/06/2026
Kuna Sala mbalimbali. Unaingilia kwenye comment. Nakupa kiunganishi ukibonyeza unakuja Whatsapp then unanifollow
07/06/2026

Kuna Sala mbalimbali. Unaingilia kwenye comment. Nakupa kiunganishi ukibonyeza unakuja Whatsapp then unanifollow

"Nami najua mawazo ninayowawazia, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini na mwisho mwem...
07/06/2026

"Nami najua mawazo ninayowawazia, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini na mwisho mwema." β€” Yeremia 29:11.

07/06/2026

JITAMKIE MANENO HAYA MATANO JUMAPILI HII

1. Leo namkabidhi BWANA njia yangu, nami naamini ataniongoza.

2. Sitatawaliwa na hofu wala mashaka, kwa maana Mungu yu pamoja nami.

3. Neema ya Mungu itanifungulia milango ya baraka, amani na mafanikio.

4. Nguvu za Mungu zitanisaidia kushinda changamoto zote zilizo mbele yangu.

5. Wiki hii nitaenda mbele kwa imani, matumaini na moyo wa kumtegemea BWANA.

Amina.

Beatus Benedicto

"Mkabidhi BWANA njia yako, pia umtumaini, naye atafanya."β€” Zaburi 37:5
07/06/2026

"Mkabidhi BWANA njia yako, pia umtumaini, naye atafanya."
β€” Zaburi 37:5

πŸ“– *MAELEKEZO YA KABLA YA KUSALI*Kabla ya kuanza Sala ya Usiku ya Kuomba Kurejeshwa Kilichopotea kwa Haki, andaa vitu vif...
06/06/2026

πŸ“– *MAELEKEZO YA KABLA YA KUSALI*

Kabla ya kuanza Sala ya Usiku ya Kuomba Kurejeshwa Kilichopotea kwa Haki, andaa vitu vifuatavyo:

πŸ•―οΈ Mishumaa myeupe au ya kijani.

πŸ’§ Maji ya baraka.

πŸ“ Karatasi na kalamu.

*Hatua za Kufuata:*

1. Washa mshumaa mmoja au zaidi wa rangi nyeupe au kijani.

2. Chukua maji ya baraka na ujinyunyizie mwilini kwa ishara ya kujitakasa katika maombi.

3. Nyunyizia maji ya baraka sehemu au chumba unachotumia kusalia.

4. Kabla ya kuanza sala, andika ombi lako kwenye karatasi kwa uwazi.

5. Hakikisha jambo unaloliombea lilikuwa haki yako kwa mujibu wa ukweli na dhamiri yako.

*Mifano ya Mambo Yanayoweza Kuombewa:*

βœ”οΈ Pesa uliyodhulumiwa au kunyimwa.

βœ”οΈ Shamba.

βœ”οΈ Urithi.

βœ”οΈ Kiwanja.

βœ”οΈ Jengo.

βœ”οΈ Cheo.

βœ”οΈ Malipo au fursa iliyokuwa haki yako.

⚠️ *Kumbuka:*

Sala hii ni sala ya tafakari binafsi na si sala rasmi iliyopitishwa na kanisa lolote. Mshumaa, maji ya baraka na kuandika ombi ni alama za maandalizi ya sala. Nguvu ya kujibu maombi hutoka kwa Mungu pekee.

πŸ™ Baada ya kukamilisha hatua hizi, anza kusoma *Sala ya Usiku ya Kuomba Kurejeshwa Kilichopotea kwa Haki*.

"Bwana ndiye atakayekubariki katika maghala yako na katika kila kazi ya mikono yako." (Kumbukumbu la Torati 28:8)K**a un...
06/06/2026

"Bwana ndiye atakayekubariki katika maghala yako na katika kila kazi ya mikono yako." (Kumbukumbu la Torati 28:8)

K**a unatamani kuwa kwenye channel ya Whatsapp napotuma hizi Sala Ili zikufikie kwa wakati basi Nenda kwenye Komenti seksheni, bonyeza kiungo kitakuleta Hadi inbox kwangu na nitakuelekeza. Chaneli inaitwa Beatus Benedicto

Address

Kitobo
Bukoba

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Beatus Benedicto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Beatus Benedicto:

Share