Hemau Church-Bukoba

Hemau Church-Bukoba NYUMBA YA MABALOZI WA YESU

Mafundisho Ya Neno La Mungu
Maombi Na Maombezi
+255742506834

22/03/2026

SHALOMU 🙌
BABA WA MBINGUNI AWE PAMOJA NASI SOTE SASA NA HATA MILELE

Nakutakia Siku Njema

Tunakutakia Heri Ya Kumbukumbu Ya Siku Ya Kuzaliwa Kwako, Bwana Akujie Heri Na Siku Nyingi Za Kuishi.
21/03/2026

Tunakutakia Heri Ya Kumbukumbu Ya Siku Ya Kuzaliwa Kwako,
Bwana Akujie Heri Na Siku Nyingi Za Kuishi.

08/03/2026

KWA IMANI TAMKA MANENO HAYA
ZABURI 106:4-5
Ee BWANA, unikumbuke mimi, Kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako. Unijilie kwa wokovu wako,Ili niuone wema wa wateule wako. Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako, Na kujisifu pamoja na watu wako. AMEN!!!!

Kesho Mapema Utapokea Simu Itakayokupa Taarifa Njema

AMINI NA POKEA HIKI NINACHOKUAMBIA,KWA KUWA NIMEKINENA KILE KILICHOTOKA MBINGUNI KWA BABA YANGU NA MUNGU WANGU ALIYEZIUMBA MBINGU NA NCHI

08/03/2026

YESU KRISTO NI BWANA YU MILELE

27/10/2024

WEWE NI MSHINDI NA ZAIDI YA WASHINDI

MOYO WA MPELEKA INJILI Wagalatia 6:7-10 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; KWA KUWA CHO CHOTE APANDACHO MTU, NDICHO ATAKA...
17/09/2024

MOYO WA MPELEKA INJILI

Wagalatia 6:7-10 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; KWA KUWA CHO CHOTE APANDACHO MTU, NDICHO ATAKACHOVUNA.
Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.
TENA TUSICHOKE KATIKA KUTENDA MEMA; MAANA TUTAVUNA KWA WAKATI WAKE, TUSIPOZIMIA roho.
Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.

06/08/2024

JIPE MOYO MUNGU BADO ANAKUWAZIA MEMA

25/05/2024

Usiogope Kwa Maana Bwana Yu Pamoja Na Wewe
HATA HILO NALO GUMU ATAKUVUSHA

18/03/2024

JMATATU YAKO IMEBARIKIWA NA BWANA

04/01/2024

NAAMINI KWA MSAADA WA BWANA TUTATENDA YALIYO MAKUU

04/01/2024

2024 Ee Bwana Uniinue, Kwa Imani Nisimame, Nipande Milima Yote, Ee Bwana Unipandishe
HEMAU TV
HEMAU FM RADIO

Address

Bukoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hemau Church-Bukoba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Hemau Church-Bukoba:

Share