INALO YOUTH CHOIR

INALO YOUTH CHOIR Vijana Inalo S.D.A Choir {Kwaya}. ITILIMA, SIMIYU, TANZANIA

Hii ni page maalum kwa ajili ya kwaya ya vijana wa kanisa la waadiventista wasabato INALO inayopatikana, Itilima, simiyu, Tanzania, lengo ni huduma za kiroho, kutangaza marejeo ya yesu mara ya pili.

Kwaya ya vijana inaloTunakutakia maandalizi mema ya harusi Yako itakayofungwa BOMANI SDA CHURCH, mtaa wa SOMANDA, BARIAD...
25/10/2025

Kwaya ya vijana inaloTunakutakia maandalizi mema ya harusi Yako itakayofungwa BOMANI SDA CHURCH, mtaa wa SOMANDA, BARIADI kesho trh 26/10/2025, Mungu akusimamie katika siku hiyo mhimu sana.
Mmoja wa waimbaji sauti ya kwanza kwaya ya INALO YOUTH CHOIR
Bnt: NEEMA NGALULA KINGOLO. Asanten sana. Wote mnakaribishwa
https://youtube.com/?si=BwHZoSDnUI4jxt3d

Tunakutakia siku njema ya harusi Yako Leo muimbaji mwenzetu Mungu akusimamie INALO YOUTH CHOIR    B,hars;PENDO MUJA. Asa...
10/09/2025

Tunakutakia siku njema ya harusi Yako Leo muimbaji mwenzetu Mungu akusimamie
INALO YOUTH CHOIR
B,hars;PENDO MUJA. Asanten sana.

Ndoa by Inalo youth choir. Ni utangulizi wa wimbo kutoka KWAYA ya vijana inalo inayopatikana mtaa wa itilima Simiyu na wimbo huu umeimbwa katika ndoa ya FROL...

Tunakutakia maandalizi mema ya harusi Yako itakayofungwa INALO SDA CHURCH trh 10/09/2025, Mungu akusimamie katika siku h...
08/09/2025

Tunakutakia maandalizi mema ya harusi Yako itakayofungwa INALO SDA CHURCH trh 10/09/2025, Mungu akusimamie katika siku hiyo mhimu sana.
Mmoja wa waimbaji sauti ya pili kwaya ya INALO YOUTH CHOIR
Bnt: PENDO MUJA KIDENDEYI. Asanten sana. Wote mnakaribishwa
https://youtube.com/?si=BwHZoSDnUI4jxt3d

Wimbo tayari upo YouTube
21/11/2024

Wimbo tayari upo YouTube

kwaya ya vijana inalo sda {Inalo youth choir} kutoka mtaa wa ITILIMA Mkoa wa Simiyu, Tanzania inawaletea wimbo usemao Changamkeni enyi watu wote maana dalili...

Karibu sana kwenye channel yetu ambapo kwa siku ya kesho wimbo wetu utakuwa hewani saa 12:00 mchana . Subscribe channel ...
20/11/2024

Karibu sana kwenye channel yetu ambapo kwa siku ya kesho wimbo wetu utakuwa hewani saa 12:00 mchana . Subscribe channel yetu na mungu akubariki sana.

https://youtube.com/?si=oHCvOLaHUk5ZZYd3

02/11/2024
Siku sita zimepita, Sabato tena karudi;Shangilie roho yangu, itukuze kwa busara.Msifuni awapaye pumziko tamu wachovu,Kwa...
19/10/2024

Siku sita zimepita, Sabato tena karudi;
Shangilie roho yangu, itukuze kwa busara.

Msifuni awapaye pumziko tamu wachovu,
Kwake roho yatulizwa , kupita siku nyingine.

Sabato Njema Familia

Wimbo mpya.
21/08/2024

Wimbo mpya.

Tumaini letu kuu ni kumuona yesu wapendwa ajapo kuuchukua walioshinda dhambi za dunia. Wimbo huu unaletwa kwenu na kwaya ya vijana Inalo (Inalo youth choir) ...

Address

ITILIMA
Bariadi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when INALO YOUTH CHOIR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to INALO YOUTH CHOIR:

Share

Category