Abdallah A Polwe

Abdallah A Polwe Mswahili Halisi πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺπŸ’ͺ

01/06/2025
16/05/2025

Ukizichukua herufi tatu za mwanzo kwenye maneno SWEDEN na DENMARK ukaziunganisha unapata neno SWEDEN.
Na ukiziunganisha herufi tatu za mwisho za maneno SWEDEN na DENMARK unapata neno DENMARK.

03/05/2025

KUTII SIYO UJINGA, BALI NI WAJIBU WA KILA ANAYEMUOGOPA MUNGU.

15/04/2025

USIONE HAYA KUJITAMBULISHA KWA JAMII NYINGINE YA KWAMBA WEWE NI MSWAHILI..

15/04/2025

USTAARABU NA MAADILI UTAVIPATA KWA WASWAHILI WA PWANI .

15/04/2025

KINGEREZA NI LUGHA SIYO TAALUMA.
KUZUNGUMZA KINGEREZA, HAKUKUFANYI UWE MSOMI.

15/04/2025

ONA FAHARI KWA KUWA MSWAHILI, USIWE MIONGONI MWA WANAOJIDHALILISHA NA KUJITIA UBAYA KWASABABU YA USWAHILI.

15/04/2025

KISWAHILI KIKITUMIWA VIZURI, KITAJENGA JAMII YENYE KUJIFAHAMU.

15/04/2025

MSWAHILI NI MTU MSTAARABU KULIKO INAVYOFIKIRIWA NA KUSEMWA NA BAADHI YA WATU AMBAO HAWAJAJIFAHAMU .

15/04/2025

ZAMANI TULIISHI BILA YA KUWA NA TEKNOLOJIA KUBWA LAKINI TULIYAFUTAHIA MAISHA YETU NA MAADILI TULIKUWA NAYO.
SITAKI KUSEMA KUHUSU MIAKA YA SASA.😭😭

12/04/2025

UME BLOCK PROFILE YAKO ILI IWEJE, UNA NINI CHA MAANA AMBACHO UNAHOFIA KITACHUKULIWA,,,,!!

Address

Bagamoyo

Telephone

+255688529650

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abdallah A Polwe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Abdallah A Polwe:

Share