TAG Kigongoni Church

TAG Kigongoni Church KARIBU SANA TAG KIGONGONI, KANISA LETU LINAKUPENDA SANA TUNA KUKARIBISHA KUUNGANA NASI KWA IBADA ZOTE.

To day in worship πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
15/09/2024

To day in worship πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Mungu ni Mkuu sana ,,πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
08/09/2024

Mungu ni Mkuu sana ,,πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

IBADA YA WATOTO 16/06/2024 TAG KIGONGONI
17/06/2024

IBADA YA WATOTO 16/06/2024 TAG KIGONGONI

WANAUME KAZINI  CMF KIGONGONI CHURCH
05/05/2024

WANAUME KAZINI CMF KIGONGONI CHURCH

HABARI PICHA  NA MATUKIOIBADA YA CMF
05/05/2024

HABARI PICHA NA MATUKIO
IBADA YA CMF

RATIBA YA IBADA YA CMF KATIKA KANISA LA   May 5 2024
05/05/2024

RATIBA YA IBADA YA CMF KATIKA KANISA LA May 5 2024

ShalomWiki la Idara ya CMF katika kanisa la   tayari limeshaanza. Tunakukaribisha sana katika mfurulizo wa matukio kadha...
30/04/2024

Shalom

Wiki la Idara ya CMF katika kanisa la tayari limeshaanza. Tunakukaribisha sana katika mfurulizo wa matukio kadha wa kadha yatakayokuwa yanaratibiwa na idara hiyo ya wanaume kanisani kwetu ratiba ya matukio itatoka hihi punde endelea kutufatilia katika vyanzo vyetu vya habari kujua nini kitaendelea kwenye kanisa letu.

π—π—¨π— π—”π—£π—œπ—Ÿπ—œ 𝗬𝗔 𝗠𝗩𝗨𝗔 𝗬𝗔 𝗕𝗔π—₯π—”π—žπ—”Katika kanisa lako la   jumapili hii ya 28/04/2024 Mchungaji Rommanus Njovu yupo tayari kufung...
25/04/2024

π—π—¨π— π—”π—£π—œπ—Ÿπ—œ 𝗬𝗔 𝗠𝗩𝗨𝗔 𝗬𝗔 𝗕𝗔π—₯π—”π—žπ—”

Katika kanisa lako la jumapili hii ya 28/04/2024 Mchungaji Rommanus Njovu yupo tayari kufungulia 𝗠𝗩𝗨𝗔 ya baraka katika maisha yako k**a isemavyo Isaya 30:23

NIKO AMBAYE NIKO AMENITUMA KWAKOMchungaji kiongozi wa kqnisa la TAG Kigongoni Church  Anakukaribisha kwenye ibada ya jum...
16/04/2024

NIKO AMBAYE NIKO AMENITUMA KWAKO

Mchungaji kiongozi wa kqnisa la TAG Kigongoni Church Anakukaribisha kwenye ibada ya jumapili hii April 21.

ShalomJumapili katika kanisa la   tutaingia shambani mwa Bwana baada ya shule ya uanafunzi na maandiko Je, ungetamani ku...
06/04/2024

Shalom
Jumapili katika kanisa la tutaingia shambani mwa Bwana baada ya shule ya uanafunzi na maandiko
Je, ungetamani kuwa miongonimwetu???
Karibu kanisani kwetu jumapili tukavune mavuno kwa kishindo.

Imetolewa na Mchungajo Kiongozi Rev. Rommanus Njovu.

Shalom, Kwenye picha ni Mama mchungaji wa kanisa la   Mrs Rommanus Njovu Kanisa linajivunia huduma ya Mama yetu mpendwa ...
02/04/2024

Shalom,
Kwenye picha ni Mama mchungaji wa kanisa la Mrs Rommanus Njovu
Kanisa linajivunia huduma ya Mama yetu mpendwa amekuwa baraka katika maisha ya vijana wengi pia ni mshauri wa maswala ya ndoa, ujasiriamali na familia.

Address

Bagamoyo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Kigongoni Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category