EAGT Mapinga Bagamoyo

EAGT Mapinga Bagamoyo HUDUMA ZA KIROHO

Nyote mnakaribishwa
07/12/2021

Nyote mnakaribishwa

Karibuni Nyote
21/11/2021

Karibuni Nyote

16/08/2021
14/02/2021

Tunaomba radhi leo hatutarusha ibada yetu LIVE

31/01/2021

Tumekuwa LIVE ibada ya kwanza na katika sifa ya ibada ya pili, basi sasa nikualike kwajili ya kusikiliza NENO la ibada ya pili litakalokujia hivi punde.
Karibu sana

24/01/2021

Tunakusubiri

23/01/2021

Tunakukaribisha kwenye ibada ya Jumapili...

Ibada ya kwanza saa 1:00 - 3:00 asubuhi.

Sunday school saa 3:00 - 4:00 asubuhi.

Ibada ya pili saa 4:00 - 6:30 mchana.

Jioni ni ibada ya sifa na shukrani pamoja na maombi ya kuiombea wiki.

KARIBU SANA

20/01/2021

TUNAENDELEA NA MAOMBI YA SIKU 21 TULIYOYAANZA TAREHE 11 NA TUTAMALIZA TAREHE 31 JANUARI 2021.

NI KILA SIKU SAA 10 HADI 12 JIONI TUNAKUTANA KANISANI.

Address

Mapinga
Bagamoyo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Mapinga Bagamoyo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to EAGT Mapinga Bagamoyo:

Share