Sir H

Sir H HUDUMA YA UPONYAJI NI SASA
Tunahubiri Injili ya Ufalme na
Tunafundisha Semina za Neno la Mungu

17/04/2026

Naipenda Afrika Mashariki

08/04/2026
Mche BWANA jitenge na uovu ili afya ikae mwilini pako
04/06/2024

Mche BWANA jitenge na uovu ili afya ikae mwilini pako

21/03/2024

NAWASHUKURU WOTE MLIOUNGANA AU KUSHIRIKIANA NAMI KTK KIPINDI CHOTE CHA MSIBA WA MDOGO WANGU FARAJA ODDO KOMBA,

MUNGU AWAKUMBUKE KTK KILA JAMBO MLILOLIFANYA KWANGU NA KWA FAMILIA YETU.

AMANI IWE KWENU NA MUNGU AWALIPE KWA KADIRI YA UKARIMU WENU.

AHSANTENI SANA

MWL Mwl Herman
0653 007755

RIP MDOGO WANGU FARAJA ODDO KOMBA
05/03/2024

RIP MDOGO WANGU FARAJA ODDO KOMBA

SCHEME OF WORK ZINAPATIKANA KWA MASOMO YOTE YA AWALI NA MSINGI NA ZIMEANDIKWA KWA MKONOKila moja Tsh 10,000/=Tutakuletea...
19/12/2023

SCHEME OF WORK ZINAPATIKANA KWA MASOMO YOTE YA AWALI NA MSINGI NA ZIMEANDIKWA KWA MKONO

Kila moja Tsh 10,000/=
Tutakuletea popote kwa wakati,
Haihitaji marekebisho yoyote,
Na k**a ikitokea mabadiliko yoyote nafanya mwenyewe,wewe ni kunipa taarifa tu kwa wakati.

Nicheki kwa 0653007755
WEKA ODA YAKO SASA

23/11/2023

Kwani hujaona andiko linalosema " *Marufuku kukata tamaa"* ?
*
Wewe unakataje tamaa kwa kisingizio cha kuvunjwa moyo?

Maisha ni vita,
Pambana hadi ushinde,
Hakuna mashindano yasiyo na vikwazo.
Kuna wengine watakusukuma njiani na wengine watakuzomea,

Shika neno moja ya kwamba *MTETEZI WETU YU HAI*
*NAYE ATATUSHINDIA KWAKUWA YUKO MBELE YETU.*

Pastor Herman
0653007755
Dar Es Salaam Tz

Mungu nina kushukuru, Kwa jina la Yesu, Umenipa neema na kiniongeza,Tangu miaka ya ubatili ilipoisha ulinipa mng'ao wa u...
06/10/2023

Mungu nina kushukuru,
Kwa jina la Yesu,
Umenipa neema na kiniongeza,
Tangu miaka ya ubatili ilipoisha ulinipa mng'ao wa utukufu,
Sasa nashuhudia ukuu wako,
Ktk miaka yangu iliyobaki duniani,
Ukaponye wengi kwa mkono wangu,
Ukaokoe wengi na kuwavuta kwako.
NOW IS 40+ ni UTUKUFU JUU YA UTUKUFU

HAPPY BIRTHDAY TO ME

Mwl Herman
0653 007755
《UPONYAJI NI SASA MINISTRY》

31/08/2023

Ni kweli dunia imekuelemea,
Mambo hayako sawa,
Unadharauliwa na kuonewa,
Dhiki na mahangaiko yamekusonga,

Kumbuka katika yote hakuna chakujitetea mbele ya kiti cha enzi Mbinguni.

Hakikisha jina lako limeandikwa katika kitabu cha uzima.

Lipo tumaini ktk Kristo Yesu,tujapoanguka,tutasimama tena,
Kwakuwa Mtetezi wetu Yesu yu hai hata milele.

Mwl Herman
Agost 31,2023 Alhamisi
Bagamoyo-Pwani

©UPONYAJI NI SASA MINISTRY

Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa kila aaminiyeAmua leo kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako.Ev ...
23/07/2023

Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa kila aaminiye

Amua leo kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako.

Ev Herman
0653007755
WhatsApp only

Address

Bagamoyo
61305

Telephone

+255653007755

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sir H posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Sir H:

Share