14/07/2024
Zakayo aliamua kuupokea ufalme wa Mungu K**a mtoto ingawa alikuwa bosi kwenye ofisi ya Kodi ingawa alikuwa tajiri lakini aliweka mbali nafasi zake na akawa na kiu njaa na shauku
Luka 19:1-10
[1]Naye alipoingia Yeriko alipita katikati yake.
And Jesus entered and passed through Jericho.
[2]Na tazama, palikuwa na mtu, jina lake Zakayo, mkubwa mmoja katika watoza ushuru, naye ni tajiri.
And, behold, there was a man named Zacchaeus, which was the chief among the publicans, and he was rich.
[3]Huyu alikuwa akitafuta kumwona Yesu ni mtu wa namna gani, asiweze kwa sababu ya umati wa watu, maana ni mfupi wa kimo.
And he sought to see Jesus who he was; and could not for the press, because he was little of stature.
[4]Akatangulia mbio, akapanda juu ya mkuyu apate kumwona, kwa kuwa atakuja kuipitia njia ile.
And he ran before, and climbed up into a sycomore tree to see him: for he was to pass that way.
[5]Na Yesu, alipofika mahali pale, alitazama juu, akamwambia, Zakayo, shuka upesi, kwa kuwa leo imenipasa kushinda nyumbani mwako.
And when Jesus came to the place, he looked up, and saw him, and said unto him, Zacchaeus, make haste, and come down; for to day I must abide at thy house.
[6]Akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa furaha.
And he made haste, and came down, and received him joyfully.
[7]Hata watu walipoona, walinungβunika wote, wakisema, Ameingia kukaa kwa mtu mwenye dhambi.
And when they saw it, they all murmured, saying, That he was gone to be guest with a man that is a sinner.
[8]Zakayo akasimama, akamwambia Bwana, Tazama, Bwana, nusu ya mali yangu nawapa maskini, na ikiwa nimenyangβanya mtu kitu kwa hila namrudishia mara nne.
[9]Yesu akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Ibrahimu.
[10]Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.