The voice of Love , School of Deliverance

The voice of Love , School of Deliverance Kuufikia ulimwengu, Kumtangaza Kristo.

03/02/2024

LIKE RESTLESS OXEN // K**A MAFAHALI WASIOTULIA.
> kuubeba mzigo wa habari njema ya injili ya Yesu Kristo kwaajili ya watu wengi.
Mt 11:30, "Kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."

> carrying the burden of good news of the gospel of Jesus Christ for the sake of many people.
Mt 11:30, "For my yoke is easy, and my burden is light."......
{Voice of love, School of deliverance}
Renatus, Queen M, Queen S, Godfrey, Saul, Frank, Ayubu, Joshua, Charles, Rebeca, Ester, Chacha, Dorcas, Sekela.

REPLICATING DOMINATION(the Lord is my shepherd)-------------Ujumbe utakaobadilisha maisha yako kutoka kwa 'the Voice of ...
10/10/2022

REPLICATING DOMINATION
(the Lord is my shepherd)
-------------
Ujumbe utakaobadilisha maisha yako kutoka kwa 'the Voice of Love, School of Deliverance'
-------------
Shalom rafiki; biblia haisemi watu hawataenda kukuroga kwa mganga, bali inasema "kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa... Isaya 54:17)". Aidha, biblia haisemi watu hawatakusema vibaya, bali inakuhakikishia kuwa salama na kila hila (Zab 46:2).
Uwapo ndani ya Yesu Kristo usiwe na hofu na mashaka, kwani hofu ni adui wa imani; hofu inamaanisha hujatambua nguvu za Mungu wetu, itasababisha kuangamizwa kwa kukosa maarifa (Hosea 4:6).
Luka 2:14, "Atukuzwe Mungu juu mbinguni,
Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia."
K**a Mungu alivyo na nguvu, nasisi watoto wake tusimamie imani ili kudhihirisha nguvu za Baba wa ufalme wetu. Shalom!
Mungu akubariki kupitia ujumbe huu;
(let's REPLICATE DOMINATION of God our Father)
- ni mimi mwalim Godfrey; kwaniaba ya watumishi wenzangu wa jumuiya ya" the Voice of Love, School of Deliverance ",
Renatus, Sauli, Queen Samwel, Queen Malekela, Joshua, Charles, Ayubu, Rebeca, Ester, Frank, Sekela, mch N Sanga, Chacha, Seth Eliezer.

08/05/2022

Usikose kwenda ibadani siku ya leo.

15/01/2022

>Hakuna mtu anayeweza kuukata mti mkubwa kwa kuupiga panga moja tu! Vivyo hivyo nawewe unayemwomba Mungu unapaswa kurudiarudia kuombea kitu kilekile.
Luka 18:7 - "Na Mungu, je! Hatawapatia haki wateule wake wanaomlilia mchana na usiku, naye ni mvumilivu kwao?"
(The Voice of love, school of Deliverance: Godfrey, Queen, Seth, Renatus, mch. Sanga, Sekela, Ester, Ayubu, Charles, Saul, Gerald)

Mpokee Yesu maishani mwako...
05/01/2022

Mpokee Yesu maishani mwako...

31/10/2021

Zaburi 92:1
[1]Ni neno jema kumshukuru BWANA,
Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu.
(A Psalm or Song for the sabbath day.) It is a good thing to give thanks unto the LORD, and to sing praises unto thy name, O most High:

31/10/2021

Yeremia 33:6
[6]Tazama, nitauletea afya na kupona, nami nitawaponya; nami nitawafunulia wingi wa amani na kweli.

29/10/2021

Zekaria 1:3
[3]Basi, uwaambie, BWANA wa majeshi asema hivi, Nirudieni mimi, asema BWANA wa majeshi, nami nitawarudia ninyi, asema BWANA wa majeshi.
Therefore say thou unto them, Thus saith the LORD of hosts; Turn ye unto me, saith the LORD of hosts, and I will turn unto you, saith the LORD of hosts.

20/10/2021

Mmoja wa hao wazee akaniuliza, “Hawa waliovaa mavazi meupe ni watu gani? Na wametoka wapi?” Nami nikamjibu, “Mheshimiwa, wewe wajua!” Naye akaniambia, “Hawa ni wale waliopita salama katika ule udhalimu mkuu. Waliyaosha mavazi yao katika damu ya Mwanakondoo, yakawa meupe kabisa. Ndiyo maana wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Humtumikia Mungu mchana na usiku katika hekalu lake; naye aketiye juu ya kiti cha enzi atatandaza hema lake juu yao kuwalinda. Hawataona tena njaa wala kiu; jua wala joto kali halitawachoma tena, kwa sababu Mwanakondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atakuwa mchungaji wao, naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji ya uhai. Naye Mungu atayafuta machozi yote machoni mwao.” (Ufunuo 7:13-17)

Address

Babati

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The voice of Love , School of Deliverance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share