T.A.G - Victory Christian Centre Babati

T.A.G - Victory Christian Centre Babati Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from T.A.G - Victory Christian Centre Babati, Assemblies of God, Oysterbay, Babati.

Official page of Victory Christian Centre Babati (VCCBABATI), Tanzania Assemblies of God (T.A.G) church in Babati, Manyara, where we praise & worship a living God and the good news of the Kingdom of God is preached.

21/08/2025

Hakika Bwana ametupendelea

14/06/2025
Pia Tembelea Channel yetu ya YouTube kutazama Ibada zetu na Mengine mengi kutoka kanisa letu zuri la T.A.G VCC Babati. B...
26/04/2024

Pia Tembelea Channel yetu ya YouTube kutazama Ibada zetu na Mengine mengi kutoka kanisa letu zuri la T.A.G VCC Babati.
Bonyeza hapa https://youtube.com/.?si=xOudlwgZQivP8lNX.

Kanisa la TAG Victory Christian Centre Lililopo Babati Mkoani Manyara Chini ya Mch. Nicodemas Panga Wameadhimisha Miaka 85 ya uwepo wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God (TAG) Nchini Tanzania na miaka 49 ya Uwepo wa Kanisa la TAG Victory Christian Centre.

Katika maadhimisho hayo, Yamefanyika maandamano ikifuatiwa na matukio mbalimbali ikiwemo upandaji wa Miti katika eneo la Kanisa, kutembelea kituo cha Watoto Yatima pamoja na Ibada Kubwa iliyofanyika VCC Babati.

Maandamano hayo yamewahusisha washirika wa Kanisa la VCC Pamoja na makanisa mengine ya jirani ya TAG na viongozi wa kanisa hilo, wakianzia maandamano hayo katika viwanja vya kanisa kuelekea barabara kuu ya Babati - Singida na kupitia njia panda ya Babati Dodoma na kuzunguka Stendi ya zamani ya Babati na kuishia katika kanisa hilo lililopo mtaa wa Ostabay.

24/04/2024

MOTO UNAWAKA 🔥🔥🔥.. Mambo yalivyokuwa katika Maandamano ya Amani katika kuadhimisha na .

Furaha tele maana HATA SASA BWANA AMETUSAIDIA.

Ilikuwa siku ya Baraka sana kwa T.A.G - Victory Christian Centre Babati. Maadhimisho ya miaka 85 ya T.A.G pamoja na Miak...
23/04/2024

Ilikuwa siku ya Baraka sana kwa T.A.G - Victory Christian Centre Babati. Maadhimisho ya miaka 85 ya T.A.G pamoja na Miaka 49 ya kanisa la VCC yalifana sana na MUNGU alipewa UTUKUFU WOTE.

Mungu akubariki sana kwa kushiriki katika Ibada hii ya Maadhimisho iliyohusisha pia Mkutano wa Injili wa siku Tano ulioendeshwa na Mzee wetu na Muasisi Muinjilisti Dr. Daudi Kuselya.

Uliyempokea Yesu katika Mkutano huo Hongera sana na Karibu katika UFALME WA MUNGU.

PAMOJA NA BWANA KWA UMOJA NA KWA PAMOJA TUTATENDA MAKUU.

Kanisa la T.A.G - Victory Christian Centre Babati linakukaribisha wewe na marafiki Zako katika kusherehekea miaka 85 ya ...
19/04/2024

Kanisa la T.A.G - Victory Christian Centre Babati linakukaribisha wewe na marafiki Zako katika kusherehekea miaka 85 ya T.A.G kwa Ngazi ya kanisa. SIKU NI KESHO.

Mkutano pia Unaendelea katika viwanja vya kanisa, Oysterbay.

KARIBU SANA Tumshukuru Mungu kwa pamoja kwa kutuwezesha kuendelea Mbele tukiwa Imara.

PAMOJA NA BWANA KWA UMOJA NA KWA PAMOJA TUTATENDA MAKUU..

Subscribe Youtube https://www.youtube.com/Kwaya ya Kanisa la VCC T.A.G - Victory Christian Centre Babati
25/02/2024

Subscribe Youtube https://www.youtube.com/
Kwaya ya Kanisa la VCC T.A.G - Victory Christian Centre Babati

Kutoka katika album ya CALVARY TUMEPONA kwaya ya kanisa la Victory Christian Centre Babati. Barikiwa na wimbo huu.Kumbuka ku Subscribe katika channel hii ili...

Video ya Kwanza kutoka ALBUM ya CALVARY TUMEPONA (Victory Choir) Tayari ipo Youtube. Karibu kutazama na Barikiwa
25/02/2024

Video ya Kwanza kutoka ALBUM ya CALVARY TUMEPONA (Victory Choir) Tayari ipo Youtube. Karibu kutazama na Barikiwa

Wafilipi 2:9-11 Kwa sababu hiyo, Mungu alimwinua juu kabisa, akampa jina ambalo ni kuu kuliko majina yote.......Moja ya Nyimbo kutoka katika Album ya CALVAR...

Baada ya Uzinduzi wa Album ya Video CALVARY TUMEPONA, Victory kwaya wanakuletea Album hii kwenye Mtandao wa Youtube kati...
23/02/2024

Baada ya Uzinduzi wa Album ya Video CALVARY TUMEPONA, Victory kwaya wanakuletea Album hii kwenye Mtandao wa Youtube katika Ubora wa HD.
Video zitakuwa hewani tarehe 24/02/2024
Tafadhali Subscribe kwenye Youtube Channel ya VICTORY CHOIR https://www.youtube.com/

Address

Oysterbay
Babati

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 05:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T.A.G - Victory Christian Centre Babati posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to T.A.G - Victory Christian Centre Babati:

Share