Prophet Elibariki Boaz

Prophet Elibariki Boaz The Official page For Prophet Elibariki BOAZ
Founder of GOOD NEWS CHURCH OF ALL NATIONS (GCOAN) LIKE PAGE YETU KWA UPENDO WA AGAPE ( AGAPE LOVE)

12/08/2026

Nakubariki wiki hii upate kitu kitu kizuri utakachokumbuka maisha yako yote.

MAUMIVU MAKALI YA MOYO SI RAHISI KUYAELEZA KWA MANENO.Kuna maumivu makali ambayo si rahisi kuyaeleza kwa maneno, hasa pa...
10/08/2026

MAUMIVU MAKALI YA MOYO SI RAHISI KUYAELEZA KWA MANENO.

Kuna maumivu makali ambayo si rahisi kuyaeleza kwa maneno, hasa pale unapokuwa umeweka moyo wako, uaminifu wako, muda wako, maisha yako.....

Kwa,
mke, mme, mpenzi ,mchumba ....alafu unaachwa.

Sasa, ushahuri wangu huu hapa kabla sijakuombea.

Usiruhusu maumivu ya leo yakubebe miaka yote. Jifunze kutokana na yaliyopita, ila usiishi ndani ya yaliopita. Usitumie nguvu zako kumchukia aliyekuacha, tumia nguvu nyingi kujijenga tena upya. Bado wewe ni thamani, bado una kusudi, bado una kesho yako na bado Mungu ana mpango na wewe.

KUMBUKA JAMBO MOJA: Kuachwa na mtu haimaanishi umeachwa na Mungu.
TUOMBE!

Baba katika jina la Yesu Kristo,
nawakabidhi wana ndoa wote mikononi mwako. Naomba uwaguse wote wawili, kipekee uwape upendo, msamaha, uvumilivu na moyo wa kuelewana.

Pia, nawaombea wawili kuwa mwili mmoja. Na kwa jina la Yesu Nakataa kila roho ya kuachana, migawanyiko, mafarakano na chuki dhidi ya wana ndoa.

Na chochote ambacho kinalenga kuvunja uchumba au ndoa nabatilisha kwa jina la Yesu.

Bwana, Sasa ninaomba kwa hawa wengine,uwarejeshe katika upendo, amani na umoja.
Ndoa hii isimame, ipone na iwe na ushuhuda kwa utukufu wako.

Ni katika jina la Yesu, nimeomba na hata kuamini. Amina!

Prophet Elibariki Boaz
10/8/2026.

MAOMBI MAKUBWA YA MWEZI WA NANE(8) KWAKO."ILI UFANIKIWE KATIKA MAMBO YAKO YOTE " ●Nakuombea uwe imara na kuwa na afya nj...
03/08/2026

MAOMBI MAKUBWA YA MWEZI WA NANE(8) KWAKO.

"ILI UFANIKIWE KATIKA MAMBO YAKO YOTE "

●Nakuombea uwe imara na kuwa na afya njema" Pokea"

●Naombea ya imani yako isipungue bali iongezeke,na maisha yako ya Kiroho yawe juu kuliko miezi iliyopita" Pokea "

● Nakuombea ufanikiwa katika kazi zako,na ufanikiwe katika biashara zako kwa viwango vya juu na vya Kimbingu "Pokea"

●Naombea mipango yako, malengo, nyumba, elimu,kampuni, miradi, kilimo, huduma, siasa, na vyote ulivyotamani kufanya, kukamilisha au kumiliki . MUNGU afanikishe vyote mikononi mwako kwa jina la Yesu " AMEN"

●MWISHO, nakuombea ulinzi wa Mungu ukulinde wewe, familia yako pamoja na watu wa nyumbani mwako. " AMEN "

Pokea, Maombi ya Prophet,

Elibariki Boaz.

" Kila kilio kina siku ya faraja."
27/05/2026

" Kila kilio kina siku ya faraja."













21/05/2026

Kucheleweshwa sio kunyimwa.Mungu wa mbinguni bado anaandika hadithi yako nzuri.

JUMAPILI HII, USO KWA USO NA YESU KRISTO.Maisha yako hayatabaki k**a yalivyo..!!
09/05/2026

JUMAPILI HII, USO KWA USO NA YESU KRISTO.Maisha yako hayatabaki k**a yalivyo..!!


















JUMAPILI HII, UTAKUTANA NA YESU USO KWA USO. Maisha yako hayatabaki k**a yalivyo.!!
08/05/2026

JUMAPILI HII, UTAKUTANA NA YESU USO KWA USO. Maisha yako hayatabaki k**a yalivyo.!!

23/04/2026

Najua majaribu ni makali k**a moto,ila nakuombea imani yako izidi kuongezeka.

Magonjwa yakutengenezwa, roho za kutupiwa, uchawi wa kununuliwa Viharibike kabla havijakaribia nyumba yako.
23/04/2026

Magonjwa yakutengenezwa, roho za kutupiwa, uchawi wa kununuliwa Viharibike kabla havijakaribia nyumba yako.

Address

Arusha

Telephone

+255759900911

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Elibariki Boaz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category