Ibrahim Nicholaus

Ibrahim Nicholaus Full Gospel church

15/08/2026

Muda mwingine majibu ya maombi yako ni vile ulivyokataliwa kwenye interview ya kazi au kwenye mahusiano kwenye ile biashara je? unapokeaje vile unavyopokea ndivyo inavyokupeleka kwenye hatua nyingine mwambie Mungu nashukuru maana hili ni jema sana maana wewe unayajua maisha yangu asante kwa hatua nyingine.

Isaya 55:8-9
Maana, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mawazo yangu si k**a mawazo yenu, wala njia zangu si k**a njia zenu. K**a vile mbingu zilivyo mbali na dunia, ndivyo njia zangu zilivyo mbali na zenu, na mawazo yangu mbali na mawazo yenu.

24/01/2026

Zaburi 125:1

22/01/2026

Tafuta kumjua Mwenyezi Mungu na njia zake Musa akasema kwenye Kutoka 33:13 Basi sasa nakuomba, ikiwa nimepata neema mbele zako, unioneshe njia zako nipate kukujua ili nipate neema mbele zako.

Mwenyezi Mungu akusaidie upate kumjua yeye pamoja na njia zake ili usilalamike mbele zake

20/01/2026

Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua. Bali haja ya mtu ikipatikana, ni mti wa uzima. Mithali 13:12

Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa. Luka 18:1

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ibrahim Nicholaus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ibrahim Nicholaus:

Shortcuts

Share

Category