Ukombozi church Arusha

Ukombozi church Arusha Karibu sana kwenye page yetu ya Kanisa la Ukombozi Arusha

KONGAMANO KUBWA LA KINABII & KUPITA KWENYE KISIMA CHA DAMU YA YESU | 23. AUGUST. 2026With BISHOP: B.Y. USHINDI...SOMO: N...
23/08/2026

KONGAMANO KUBWA LA KINABII & KUPITA KWENYE KISIMA CHA DAMU YA YESU | 23. AUGUST. 2026
With BISHOP: B.Y. USHINDI...
SOMO: NGUVU TATU ZINAZO UTAWALA ULIMWENGU WAKO WA KIROHO.
1: IMANI
2: NENO(Ukiri wa Kinywa chako)
3: DHABIHU

Bofya linki hii kufuatana naSi moja kwa moja katika IBADA ya NENO.
https://www.facebook.com/share/v/19RfNTpyDU/

KONGAMANO KINABII & KUPITA KWENYE KISIIMA CHA DAMU YA YESU | 23. AUGUST. 2026Karibu Uabudu nasi katika KONGAMANO hili la...
23/08/2026

KONGAMANO KINABII & KUPITA KWENYE KISIIMA CHA DAMU YA YESU | 23. AUGUST. 2026
Karibu Uabudu nasi katika KONGAMANO hili la leo. Tayari mtumihi wa MUNGU Askofu B.Y. USHINDI yupo MADHBAHUNI. kwaajili ya kuwahudumia maelfu ya wana UKOMBOZI ARUSHA. Ungana nasipia ukiwa mbali moja kwa moja Live kupitia ukurasa wetu wa FACEBOOK....

KONGAMANO LA KINABII & KUPITA KWENYE KISIA CHA DAMU YA YESU | 23. AUGUST.2026.Na Mwl: Faith UshindiKupitia KONGAMANO hil...
23/08/2026

KONGAMANO LA KINABII & KUPITA KWENYE KISIA CHA DAMU YA YESU | 23. AUGUST.2026.
Na Mwl: Faith Ushindi
Kupitia KONGAMANO hili tunakutamkia pokea nguvu KUBWA ya kukuvusha na kukupeleka kwenye viwango vingine katika jinaa la YESU KRISTO....

IBADA YA KINABII & KUPITA KWENYE KISIMA CHA DAMU YA YESUZaburi 71:8Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako mcha...
23/08/2026

IBADA YA KINABII & KUPITA KWENYE KISIMA CHA DAMU YA YESU
Zaburi 71:8
Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako mchana kutwa.
Karibu katika KONGAMANO KUBWA, Karibu Tumsifu na Kumwabudu MUNGU moja kwa moja kutoka katka MADHABAHU ya kanisa la UKOMBOZI ARUSHA....

23/08/2026

KONGAMANO KUBWA LA KINABII & KUPITA KWENYE KISIMA CHA DAMU YA YESU...
With Bishop: B.Y. USHINDI

IBADA YA KINABII | 16.AUGUST. 2026Karibu Uabudu nasi kWENYE IBADA hii ya leo. Zaburi 147:1Msifuni Mwenyezi-Mungu! Jinsi ...
16/08/2026

IBADA YA KINABII | 16.AUGUST. 2026
Karibu Uabudu nasi kWENYE IBADA hii ya leo.
Zaburi 147:1
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Jinsi gani ilivyo vizuri kumwimbia sifa Mungu wetu! Yeye ni mwema na astahili kuimbiwa sifa.

IBADA YA KINABII | 16. AUGUST. 2026Kupitia KONGAMANO la siku ya leo tunakutamkia pokea NGUVU ya KUINGIA kwenye MAJIRA ya...
16/08/2026

IBADA YA KINABII | 16. AUGUST. 2026
Kupitia KONGAMANO la siku ya leo tunakutamkia pokea NGUVU ya KUINGIA kwenye MAJIRA yako MAPYA katika jina la YESU KRISTO.

16/08/2026

IBADA YA KINABII | 16 .AUGUST.2026
KONGMANO LA KUINGIA KWENYE MAJIRA MAPYA
With BISHOP: B.Y. USHINDI...

IBADA YA KINABII | 16. AUGUST. 2026Karibu Uabudu nasi jumapili hii ya kipekee kaika KONGAMANO KUBWA LAMAJIRA MAPYA. Taya...
16/08/2026

IBADA YA KINABII | 16. AUGUST. 2026
Karibu Uabudu nasi jumapili hii ya kipekee kaika KONGAMANO KUBWA LAMAJIRA MAPYA. Tayari mtumishi wa Mungu Pastor GRACE USHINDI amesha ifungua IBADA. Jiunganishe katika IBADA hii MUBASHARA katika ukurasa wetu wa facebook ili kuokea mja kwa moja kutoka madhabahuni.

Address

TEXAS/NGARAMTONI
Arusha
23214

Telephone

+255766850563

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ukombozi church Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ukombozi church Arusha:

Shortcuts

Share