Yesu Kristo Mwokozi Wetu

Yesu Kristo Mwokozi Wetu LENGO LA PAGE HII NI KUMUHUBIRI YESU KRISTO ALIYE KUFA NA KUFUFUKA KWA AJILI YANGU MIMI NA WEWE ILI

25/05/2025
12/07/2023

tumerudi Mungu ni mwema

Amen
08/10/2022

Amen

Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamo...
27/10/2018

Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.

Yoshua 1:9

27/10/2018

God bless em all

LENGO LA PAGE HII NI KUMUHUBIRI YESU KRISTO ALIYE KUFA NA KUFUFUKA KWA AJILI YANGU MIMI NA WEWE ILI

Unaweza kuwaza sana na kufikir kwann suleman alichagua hekima na akaacha vitu vingine ambavyo wewe na mimi tunaona au ku...
17/08/2018

Unaweza kuwaza sana na kufikir kwann suleman alichagua hekima na akaacha vitu vingine ambavyo wewe na mimi tunaona au kudhani vina thaman sana,
Hekima ni nini hasa:-
>> Hekima ni hali bora ya mtu katika kutambua
ukweli wa binadamu , vitu, matukio na
mazingira mbalimbali hata kuchagua vizuri la kufanya.
Katika dini mbalimbali inatokana na imani kwa
Mungu.
Katika Ukristo inatajwa pengine kati ya vipaji vya Roho Mtakatifu vinavyokamilisha maadili ya kiutu na maadili ya Kimungu vilevile.
>> kuna watu wengi sana wana mali na utajiri wa hali ya juu kabisa ila kuna kitu kimoja tuu kinachoitwa hekima ndio wamekosa
>> unaweza ukawa na hekima ikakusaidi kupata fedha mali na utajiri lakini amini usiamini una weza ukawa na fedha mali na utajiri lakini ukanyimwa hekima.
>> utasikia tuu yule bwana aliwahi kuchimba madini akapata milioni 800 lakini skuizi hana kitu, wewe ukisikia hivyo unadhani huyo bwana alikosa nini zaidi ya hekima
MWOMBE SANA MUNGU AKUPE

John 14:15
17/08/2018

John 14:15

🙏
04/08/2018

🙏

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yesu Kristo Mwokozi Wetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share