Anointed Room Ministry

Anointed Room Ministry OUR VISION IS TO HELP PEOPLE DEEPEN THEIR PERSONAL RELATIONSHIPS WITH GOD IN JESUS CHRIST. KUWASAIDIA WATU KUIMARISHA MAHUSIANO YAO NA MUNGU KATIKA KRISTO YESU.

12/08/2026

*ANOINTED ROOM MINISTRY*
Inakuletea semina ya vijana wa kiume kuanzia miaka 18-25.

Tumeona vijana wetu wanakoelekea na tusipofanya juhudi za makusudi kuwawahi kabla hawajatumumbukia kwenye shimo linaloitwa dunia hakika tutalia huko mbele ya safari. Tutajikuta tuna vijana wasiojua cha kufanya, wasiojua thamani yao, wanaokimbia majukumu yao nk

Wale wanaotegemea kwenda mavyuoni, walete na wao. Umeshasikia story za watu kuharibikiwa baada ya kufika vyuoni?

*Topics will include:*

* Purpose and Identity
* Character Development
* Financial Literacy
* Career & Entrepreneurship
* Relationships
* Leadership
* Spiritual Growth
* Practical Life Skills

Tuna vingi sana vya kuzungumza na hili rika, tafadhali mzazi tuletee kijana wako kwa ajili yako mwenyewe. Yuko mbali ya Dar es Salaam msafirishe.

Bonyeza link hii kwa usajili. Hakuna kiingilio ni bure kabisa.

https://tally.so/r/J9j9g7

Shinda kitofauti, wewe na uzao wako

Beatrice & Colle
Anointed Room Ministry

12/08/2026
12/08/2026

Register hapo juu kwenye link kwenye bio

Topics will include:

* Purpose and Identity
* Character Development
* Financial Literacy
* Career & Entrepreneurship
* Relationships
* Leadership
* Spiritual Growth
* Practical Life Skills

ANOINTED ROOM MINISTRYInakuletea semina ya vijana wa kiume kuanzia miaka 18-25. Tumeona vijana wetu wanakoelekea na tusi...
11/08/2026

ANOINTED ROOM MINISTRY
Inakuletea semina ya vijana wa kiume kuanzia miaka 18-25.

Tumeona vijana wetu wanakoelekea na tusipofanya juhudi za makusudi kuwawahi kabla hawajatumumbukia kwenye shimo linaloitwa dunia hakika tutalia huko mbele ya safari. Tutajikuta tuna vijana wasiojua cha kufanya, wasiojua thamani yao, wanaokimbia majukumu yao nk

Wale wanaotegemea kwenda mavyuoni, walete na wao. Umeshasikia story za watu kuharibikiwa baada ya kufika vyuoni?

Tuna vingi sana vya kuzungumza na hili rika, tafadhali mzazi tuletee kijana wako kwa ajili yako mwenyewe. Yuko mbali ya Dar es Salaam msafirishe.

Bonyeza link kwenye bio kwa usajili. Hakuna kiingilio ni bure kabisa.

Shinda kitofauti, wewe na uzao wako

Beatrice & Colle
Anointed Room Ministry

*ANOINTED ROOM MINISTRY*Inakuletea semina ya vijana wa kiume kuanzia miaka 18-25. Tumeona vijana wetu wanakoelekea na tu...
11/08/2026

*ANOINTED ROOM MINISTRY*
Inakuletea semina ya vijana wa kiume kuanzia miaka 18-25.

Tumeona vijana wetu wanakoelekea na tusipofanya juhudi za makusudi kuwawahi kabla hawajatumumbukia kwenye shimo linaloitwa dunia hakika tutalia huko mbele ya safari. Tutajikuta tuna vijana wasiojua cha kufanya, wasiojua thamani yao, wanaokimbia majukumu yao nk

Wale wanaotegemea kwenda mavyuoni, walete na wao. Umeshasikia story za watu kuharibikiwa baada ya kufika vyuoni?

Tuna vingi sana vya kuzungumza na hili rika, tafadhali mzazi tuletee kijana wako kwa ajili yako mwenyewe. Yuko mbali ya Dar es Salaam msafirishe.

Bonyeza link kwenye bio kwa usajili. Hakuna kiingilio ni bure kabisa.

Shinda kitofauti, wewe na uzao wako

Beatrice & Colle
Anointed Room Ministry

11/08/2026

Somo kubwa sana ambalo tunatamani kila mmoja apate nafasi ya kulisikiliza tumefundisha PWANI liko Youtube ya Anointed Room Ministry.

Please nenda na ufanyie kazi somo hilo.
Ni somo lina title inayosema
MUUJIZA UNAOUHITAJI UKO KWENYE NENO LA MUNGU.

Room Ministry

KESHO SAA KUMI ASUBUHI.TUNAANZA SAFARI YETU YA WISDOM BEYOND.JAMANI KUNA HEKIMA,ALAFU KUNA HII HEKIMA YA KUSIMAMA NA KUK...
10/08/2026

KESHO SAA KUMI ASUBUHI.

TUNAANZA SAFARI YETU YA WISDOM BEYOND.

JAMANI KUNA HEKIMA,ALAFU KUNA HII HEKIMA YA KUSIMAMA NA KUKOMBOA TAIFA AU DUNIA, HII NI HEKIMA ITAKUSAIDIA KWENYE

NDOA
BIASHARA
AJIRA
MAHUSIANO
TABIA
UONGOZI
AFYA

NA MAMBO MENGI SANA.

NI MFUNGO NA MAOMBI YA SIKU 21 YA HEKIMA ISIYO YA KAWAIDA.

Room Ministry

KENYA WE ARE COMING.Wale tunaosafiri kuelekea KENYA Anza kuandaa passport yako kabisa.Weka na kupanga vitu vyako mapema ...
10/08/2026

KENYA WE ARE COMING.
Wale tunaosafiri kuelekea KENYA Anza kuandaa passport yako kabisa.

Weka na kupanga vitu vyako mapema kabisa.
Please zingatia passport na yellow card.

Tukutane kwenye ukumbi wa SHIMBA HALLS
KICC 1ST FLOOR.

Anointed_Room_Ministry

10/08/2026

Mhu 9:15-16 SUV
Basi, kulionekana humo mtu maskini mwenye hekima, naye kwa hekima yake akauokoa mji ule lakini hata hivyo hapakuwa na mtu ye yote aliyemkumbuka yule mtu maskini.

Ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu; walakini hekima ya maskini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.

Anointed_Room_Ministry

Address

Arusha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Anointed Room Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share