05/10/2018
Shaloooom wana wateule wa MUNGU.
Hakika BWANA YESU KRISTO akitaka kukuinua atafuti ushauri wa mtu yeyote. Yeye ukaa kikao na Malaika zake akimaliza anatelemsha mibaraka juu yako.
Karibu sana kwenye Ibada iliyosheheni baraka zako toka kwa Mungu Baba wa Mbinguni siku ya Jumapili, inayoongozwa na mpakwa mafuta wa Mungu; Nabii Neema Kwabwana Bwana wa Huduma ya "The Grace Of Deliverance Ministries" iliyoko kijiji cha SASI Kambi ya Chupa.
Karibu sana, Karibuni nyote.
Religious centre