Sauti ya Mungu -church page

Sauti ya Mungu -church page Shirika LA kidini

11/05/2026
01/03/2026

A new list of funding programs has just been released for individuals, churches, NGOs, and small businesses.

Many applicants are already receiving support, but only a few slots remain in each category. Priority is given to early and serious applicants.

If you have a project, business, education need, or community plan, this could be your opportunity.

⚠️ Applications may close anytime once quotas are reached.

Check Available Grants Now👇👇
https://donorconnectionvip.blogspot.com/2026/02/grants-available-apply-now.html

23/06/2025
22/06/2025

WACHUNGAJI KUNA KITU
MNAKOSEA
acheni siasa makanisani

22/06/2025

Familia ya Nahodha Wale Makinde na binti zake watatu, Mopelola, Oluwaseun, na Oluwafunmilayo, kutoka Nigeria wamefanya mapinduzi ya usafiri wa anga kwa kuvunja vizuizi na kuleta mabadiliko.

Watoto hao wa k**e waliamua kufuata nyayo za Baba yao ambaye ni Rubani wa helikopta katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Nigeria (NCAA).

Mopelola, binti mkubwa zaidi, alifuata ndoto za Baba yake na kuwa Rubani stadi wa helikopta, akionyesha nguvu ya kufanya kazi kwa bidii na uvumilivu.

Oluwaseun, binti wa kati, pia alikwenda angani kupaisha Helikopta akithibitisha kuwa wanawake wanaweza kufaulu katika nyanja ambayo uwepo wao mara nyingi hutiliwa shaka.

Oluwafunmilayo, mdogo kabisa, alichagua njia tofauti katika urubani k**a rubani wa ndege za kawaida (Fixed wing) na kuthibitisha kuwa kuna njia nyingi za kuacha alama katika sekta hiyo.

Hadithi ya familia ya Makinde ni ukumbusho kwamba changamoto ni hatua za kufikia lengo na kwamba uvumilivu na dhamira ni ufunguo wa mafanikio.

Karibu SAUTI YA MUNGU CHURCH-ARUSHA
08/09/2024

Karibu SAUTI YA MUNGU CHURCH-ARUSHA

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sauti ya Mungu -church page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Sauti ya Mungu -church page:

Share