Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania - KKKT.

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania - KKKT. Kristo tu, Neno tu, Neema tu. Umoja wetu ndiyo nguvu yetu kwakuwa Kristo yu ndani yetu daima.

02/01/2026

Jukumu la Kanisa ni kugusa Roho na mioyo ya waumini wake na wasio waumini ili kuwafanya wausikie na kuuhisi Upendo wa Yesu Kristo kwenye maisha yao ya kila siku.

Tutaanza program ya kuwachangia watu wenye mahitaji maalum hapa ili wakutane na upendo wa Yesu Kristo.

Je, nini maoni yako katika hili??
0712401880

Heri ya Mwaka mpya kwa Ndugu wote katika Kristo Yesu.
02/01/2026

Heri ya Mwaka mpya kwa Ndugu wote katika Kristo Yesu.

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania - KKKT. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share