S.P.Voices Tz

S.P.Voices Tz S.P.VOICE is a ministry aimed to help Musician by providing seminars concerning what Bible says about music. Because many musicians left the God's goal.

HONGERA EANA HARON S.P VOICER KWA HATUA HII NZURI INAYOMPA MUNGU UTUKUFU, S.P VOICERS tunakutakia baraka tele ktk ndoa y...
23/12/2018

HONGERA EANA HARON S.P VOICER KWA HATUA HII NZURI INAYOMPA MUNGU UTUKUFU, S.P VOICERS tunakutakia baraka tele ktk ndoa yako.

Jana tulikuwa na wakati mwema sana tulipowatembelea ndugu zetu Evarin na chris yaani furaha ilikuwa kubwa sana!
08/01/2018

Jana tulikuwa na wakati mwema sana tulipowatembelea ndugu zetu Evarin na chris yaani furaha ilikuwa kubwa sana!

Happy new year 2018S.P voicers
02/01/2018

Happy new year 2018

S.P voicers

Baadhi ya S.P VOICERS baada ya ibada ya kusifu na kumuabudu Mungu ya29 oct 2017. K**a ulipitwa subiri ijayo!
01/11/2017

Baadhi ya S.P VOICERS baada ya ibada ya kusifu na kumuabudu Mungu ya
29 oct 2017. K**a ulipitwa subiri ijayo!

NI KESHO KUTWA PALE KANISA LA T.A.G BIBLE COLLAGE NGARAMTONI. IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU ITAANZA SAA NANE MCHANA.USIPANG...
27/10/2017

NI KESHO KUTWA PALE KANISA LA T.A.G BIBLE COLLAGE NGARAMTONI. IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU ITAANZA SAA NANE MCHANA.
USIPANGE KUKOSA!

Karibu ktk IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU ,Tar 29/10/2017 yaani wiki ijayo ktk kanisa la T.A.G CHUO CHA BIBLIA ARUSHA NGARAM...
17/10/2017

Karibu ktk IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU ,
Tar 29/10/2017 yaani wiki ijayo
ktk kanisa la T.A.G CHUO CHA BIBLIA ARUSHA NGARAMTONI.

Leo tumekuwa na wakati mwema sana ktk ibada ya kuweka wakfu CD yake dada SARA.
10/09/2017

Leo tumekuwa na wakati mwema sana ktk ibada ya kuweka wakfu CD yake dada SARA.

Siku ya Jana tumekuwa na wakati mwema sana ktk ibada ya kusifu na kuabudu (siku ya sifa) iliyoandaliwa na Redio Habari M...
06/06/2017

Siku ya Jana tumekuwa na wakati mwema sana ktk ibada ya kusifu na kuabudu (siku ya sifa) iliyoandaliwa na Redio Habari Maalum! Utukufu kwa Bwana kwa kututumia apendavyo!

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when S.P.Voices Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share