Casfeta-Tayomi - ATC_Official

Casfeta-Tayomi - ATC_Official Wanachuo TULIOOKOKA wa makanisa Ya KIPENTEKOSTE hapa CHUO CHA UFUNDI ARUSHA. HISTORIA FUPI YA KUNDI TOKEA KUANZISHWA MWAKA 1980. Ezborn Yohana - 2010/2011
02.

Mnamo mwaka 1980, kikundi kidogo cha wanachuo wapentekoste kilijitenga kutoka kwenye jumuiya ya wakati huo ya Umoja wa kikristo wa wanafunzi Tanzania (UKWATA) na kuunda ushirika mpya ulio julikana k**a Christian Fellowship (CF) na kuanza kufanya ibada katika chumba namba 06 (Ukumbi wa Bunge - Arusha Technical College) kwa kuanza na wanafunzi wachache wasiozidi 15 chini ya aliyekuwa mwenyekiti wa t

awi wakati huo, ambaye kwasasa ni Mchungaji na Askofu Lawrance Kameta. Tangu wakati huo Christian Fellowship (CF) bila kujali uchache waliokuwa nao iliendelea kukua na kuleta UAMSHO katikati ya chuo hivyo kusababisha baadhi ya wanafunzi kumpokea YESU kuwa BWANA na MWOKOZI wa maisha yao. Christian Fellowship (CF) iliendelea kukua na kuongezeka mwaka hadi mwaka chini ya viongozi mbalimbali, na yafuatayo ni majina machache tu ya baadhi ya viongozi walio ongoza kundi chini ya Christian Fellowship(CF) ambao ni Eng.Kalembo(1980), Mchungaji na Askofu Lawrance Kameta(1981), Mchungaji na Muhandisi Rodgers Namwenje(1982), Mchungaji na Muhandisi Joseph Kotini(1983), Mchungaji Raphael, Eng.Simon Mbaga(1997), Mkufunzi wa Elimu Ya Juu na Mzee wa Kanisa Nicolaus Stanslaus (1998), Mzee wa Kanisa na Muhandisi Seba Maginga(1999), Eng.Huruma Kidenya(2000), Eng.Wilfred Ntandu Mkese(2001), Eng.Hosea Nango(2002). Mnamo mwaka 2006 Uongozi wa CASFETA TAYOMI mkoa wa Arusha pamoja na Mkurugenzi wa kwanza wa CASFETA nchini; Mch. JOSEPH JUSTINE kwa kushirikiana na Christian Fellowship(CF) uongozi wa tawi pamoja na mlezi wa Christian Fellowship Mchungaji na Muhandisi Joseph M. Kotini (ambaye amekuwa Mwalimu mlezi kwa miaka 32 kuanzia 1989 - 2021, kisha Kuwa Mchungaji Mlezi wa tawi) walikubaliana kubadilisha jina la ushirika kutoka Christian Fellowship kwenda CASFETA TAYOMI ATC. Kuanzia wakati huo hata sasa tawi hili limekuwa chini ya TANZANIA YOUTH MINISTRIES (TAYOMI). IFUATAYO NI ORODHA YA BAADHI YA WALIOWAHI KUTUMIKA K**A WENYEVITI :-
01. Erick Longino - 2011/2012
03. Florian Kamala - 2012/2013
04. Christover Mahenge - 2013/2014
05. Emmanuel Nobert - 2014/2015
06. Lazaro Mollel - 2015/2016
07. Onorasco Daudi - 2016
08. Jeremiah Samson •2016/2017 •2017/2018 •2018/2019
09. Mwemezi William Kato - 2019/2020
10. Maiko Elisha Haonga - 2020/2021
11. Ramson G. Weston - 2021/2022

Pia mchango wa wateule wengine k**a Rhoda Kephas(2019), Joseph Makindi(2020), Ivan Kameka(2021), Emmanuel Macha(2022). Sifa na utukufu apewe Mfalme Yesu. BAADHI YA MIKUTANO YA INJILI TULIYOIFANYA MPAKA SASA:-
•Kilimanjaro, MOSHI (2012).
•SINGIDA (2014).
•Kilimanjaro, OldMoshi - KIKARARA (2015).
•Tanga, Handeni - KABUKU (2016).
•Manyara, Simanjiro - NABERELA (2017).
•Kimanjaro, Moshi - HIMO (2018).
•Pwani, Kibaha - MLANDIZI (2019).
•Tanga, LUSHOTO (2020).
•Kilimanjaro, Rombo - TARAKEA (2021).
•Manyara, Hanang - KATESH (2022). Casfeta Tayomi Atc, familia hii imekuwa ya muhimu sana katika kukuza na kuvilea vipawa na huduma zetu mbalimbali k**a watumishi wa Mungu lakini pia k**a wasafiri wa kwenda mbinguni. "Kwa hiyo nampigia Baba magoti, ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa" - Waefeso 3:14-15.

07/08/2026

OUTREACH Day 3 it was full of 🔥🔥🔥🔥

07/08/2026

OUTREACH KILIMANJARO ROMBO TARAKEA
CASFETA TAYOMI ATC DAY 2

07/08/2026

OUTREACH Day 1 💥💥💥💥

07/08/2026

𝕎ℍ𝔸𝕋 𝔸 𝕎𝕆ℕ𝔻𝔼ℝ𝔽𝕌𝕃𝕃𝔸ℕ𝔻 ℙ𝕆𝕎𝔼ℝ𝔽𝕌𝕃𝕃 𝕆𝕌𝕋ℝ𝔼𝔸ℂℍ 𝕎𝔼 ℍ𝔸𝔻 𝕋ℍ𝕀𝕊 𝕎𝔼𝔼𝕂 𝕋ℍ𝔸ℕ𝕂 𝕐𝕆𝕌 𝔸𝕃𝕃 𝔽𝕆ℝ 𝕐𝕆𝕌ℝ 𝕊𝕌ℙℙ𝕆ℝ𝕋 , ℂ𝕆𝕆ℙ𝔼ℝ𝔸𝕋𝕀𝕆ℕ 𝔸ℕ𝔻 ℙ𝔸ℝ𝕋𝕀ℂ𝕀ℙ𝔸𝕋𝕀𝕆ℕ 𝕀ℕ 𝕋ℍ𝕀𝕊 𝕆𝕌𝕋ℝ𝔼𝔸ℂℍ 𝔾𝕆𝔻 𝔹𝕃𝔼𝕊𝕊 𝕐𝕆𝕌 𝔸𝕃𝕃 🙌🙌🙌

YEYOTE UNAKARIBISHWA KUANZIA KESHO SAFARI
31/07/2026

YEYOTE UNAKARIBISHWA KUANZIA KESHO SAFARI

27/07/2026

ℙℝ𝔸𝕀𝕊𝔼 𝕋ℍ𝔼 𝕃𝕆ℝ𝔻 𝕁𝔼𝕊𝕌𝕊
𝕋ℍ𝔸ℕ𝕂 𝕐𝕆𝕌 𝔸𝕃𝕃 𝔽𝕆ℝ 𝕐𝕆𝕌ℝ ℂ𝕆𝕆ℙ𝔼ℝ𝔸𝕋𝕀𝕆ℕ
𝔽𝕆ℝ 𝕋ℍ𝔸ℕ𝕂𝕊 𝔾𝕀𝕍𝕀ℕ𝔾 𝕊𝔼ℝ𝕍𝕀ℂ𝔼
𝔾𝕆𝔻 𝔹𝕃𝔼𝕊𝕊 𝕐𝕆𝕌 𝔸𝕃𝕃 🙌🙌🙌

𝔹𝕎𝔸ℕ𝔸 𝕐𝔼𝕊𝕌 𝔸𝕊𝕀𝔽𝕀𝕎𝔼 𝕌𝕆ℕ𝔾𝕆ℤ𝕀 𝕎𝔸 ℂ𝔸𝕊𝔽𝔼𝕋𝔸 𝕌ℕ𝔸 𝔽𝕌ℝ𝔸ℍ𝔸 𝕂𝕌𝔹𝕎𝔸 𝕂𝕌𝕎𝔸𝔸𝕃𝕀𝕂𝔸 𝕎𝔸𝕋𝕌 𝕎𝕆𝕋𝔼 𝕂𝕎𝔼ℕ𝕐𝔼 𝕀𝔹𝔸𝔻𝔸 𝕐𝔸 𝕊ℍ𝕌𝕂ℝ𝔸ℕ𝕀 𝕀𝕋𝔸𝕂𝔸𝕐𝕆𝔽𝔸ℕ𝕐𝕀𝕂𝔸 𝕋ℝℍ 2...
25/07/2026

𝔹𝕎𝔸ℕ𝔸 𝕐𝔼𝕊𝕌 𝔸𝕊𝕀𝔽𝕀𝕎𝔼
𝕌𝕆ℕ𝔾𝕆ℤ𝕀 𝕎𝔸 ℂ𝔸𝕊𝔽𝔼𝕋𝔸 𝕌ℕ𝔸 𝔽𝕌ℝ𝔸ℍ𝔸 𝕂𝕌𝔹𝕎𝔸 𝕂𝕌𝕎𝔸𝔸𝕃𝕀𝕂𝔸 𝕎𝔸𝕋𝕌 𝕎𝕆𝕋𝔼 𝕂𝕎𝔼ℕ𝕐𝔼 𝕀𝔹𝔸𝔻𝔸 𝕐𝔸 𝕊ℍ𝕌𝕂ℝ𝔸ℕ𝕀 𝕀𝕋𝔸𝕂𝔸𝕐𝕆𝔽𝔸ℕ𝕐𝕀𝕂𝔸 𝕋ℝℍ 26/7/2026 .
𝔸𝕄𝔹𝔸ℙ𝕆 𝕋𝕌𝕋𝔸𝕄𝕊𝕀𝔽𝕌 𝕄𝕌ℕ𝔾𝕌 ℕ𝔸 𝕂𝕌𝕄𝕎𝔸𝔹𝕌𝔻𝕌 ℕ𝔸 𝕂𝕌𝕄𝕊ℍ𝕌𝕂𝕌ℝ𝕌 𝕂𝕎𝔸 ℙ𝔸𝕄𝕆𝕁𝔸 𝕂𝕎𝔸 𝕁𝕀ℕ𝕊𝕀 𝔸𝕃𝕀𝕍𝕐𝕆 𝕄𝕎𝔸𝕄𝕀ℕ𝕀𝔽𝕌 𝕁𝕌𝕌 𝕐𝔸 𝕄𝔸𝕀𝕊ℍ𝔸 𝕐𝔼𝕋𝕌𝕌 ℕ𝔸 𝕁𝕌𝕌 𝕐𝔸 𝕊𝔼𝕄𝕀𝕊𝕋𝔼ℝ ℍ𝕀𝕀
𝕄𝕌ℕ𝔾𝕌 𝕎𝔸 𝕄𝔹𝕀ℕ𝔾𝕌ℕ𝕀 𝔸𝕎𝔸𝔹𝔸ℝ𝕀𝕂𝕀 𝕊𝔸ℕ𝔸𝔸𝔸

𝕂𝔸ℝ𝕀𝔹𝕌ℕ𝕀 𝕊𝔸ℕ𝔸𝔸𝔸𝔸𝔸 𝕂𝕌ℙ𝕆𝕂𝔼𝔸 𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 ℍ𝕀ℤ𝕀𝕀𝕀 𝕂𝔸𝕋𝕀𝕂𝔸 𝕂𝕌𝕀𝕂𝔸𝕄𝕀𝕃𝕀𝕊ℍ𝔸 𝕂𝔸ℤ𝕀 𝕐𝔸 𝕄𝕌ℕ𝔾𝕌 . 2𝕄𝕒𝕞𝕓𝕠 𝕪𝕒 𝕟𝕪𝕒𝕜𝕒𝕥𝕚 7:14 𝕄𝕌ℕ𝔾𝕌 𝔸𝕎𝔸𝔹𝔸ℝ𝕀𝕂𝕀 𝕊𝔸ℕ𝔸𝔸...
22/07/2026

𝕂𝔸ℝ𝕀𝔹𝕌ℕ𝕀 𝕊𝔸ℕ𝔸𝔸𝔸𝔸𝔸 𝕂𝕌ℙ𝕆𝕂𝔼𝔸 𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 ℍ𝕀ℤ𝕀𝕀𝕀 𝕂𝔸𝕋𝕀𝕂𝔸 𝕂𝕌𝕀𝕂𝔸𝕄𝕀𝕃𝕀𝕊ℍ𝔸 𝕂𝔸ℤ𝕀 𝕐𝔸 𝕄𝕌ℕ𝔾𝕌 . 2𝕄𝕒𝕞𝕓𝕠 𝕪𝕒 𝕟𝕪𝕒𝕜𝕒𝕥𝕚 7:14
𝕄𝕌ℕ𝔾𝕌 𝔸𝕎𝔸𝔹𝔸ℝ𝕀𝕂𝕀 𝕊𝔸ℕ𝔸𝔸𝔸𝔸 🙌🙌🙌🙏🙏🙏

13/07/2026

MLIMANI

Address

Mianzini
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Casfeta-Tayomi - ATC_Official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Casfeta-Tayomi - ATC_Official:

Shortcuts

Share