Gosheni Ministry International

Gosheni Ministry International Gosheni ministry, Ni huduma ya Makimbilio ya watu wote Ulimwenguni..(kutoka 8;22)

20/03/2026

Usipange kukosa ni kuanzia leo hadi jpl wote mnakaribishwa sana,

17/01/2026
28/12/2025

Njoo tumalize mwaka kibabe katika yeye (kristo) J5 hii tareh 31 kuanzia saa 8:30 usiku had asbh... Apostle atakuombea na kukutamkia Baraka za mwaka 2026... Njoo tumsifu Mungu had asubuhi...🙌

19/12/2025

Apostle Itael Nanyaro

Kanisa la Goshen Church Arusha, Kwa heshima kubwa tunapenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha WAZAZI WENYE WATOTO kwanzia umri wa mwaka 1-18 katika IB… See more

Kanisa la Goshen Church Arusha, Kwa heshima kubwa tunapenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha WAZAZI WENYE WATOTO kwanzia umri wa mwaka 1-18 katika IBADA KUBWA YA WATOTO, Jumapili hii ya tarehe 21/12/2025. Katika kanisa la GOSHENI maeneno ya USA-RIVER NGONGONGARE. Itakayoongozwa na mtumishi wa MUNGU Apostle Itael Nanyaro............
MUDA
Saa 3:00Asubuhi
CHAKULA NA VINYWAJI VITAKUWEPO.
USIPANGE KUKOSA IBADA HII, EWE MZAZI/MLEZI pamoja na WATOTO WOTE...........

10/12/2025

Genesis 22:14
And Abraham called the name of that place Jehovahjireh: as it is said to this day, In the mount of the LORD it shall be seen.

MWANZO 22:14
Ibrahimu akapaita mahali hapo Yehova-yire, k**a watu wasemavyo hata leo, Katika mlima wa BWANA itapatikana.

08/12/2025

Wengi walifunguliwa kwa Jina la Yesu

08/12/2025

Ilikua Jpl nzuri yenye Baraka.

1 Wakorintho 12:28Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miuj...
25/09/2025

1 Wakorintho 12:28

Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, na MASAIDIANO na maongozi, na aina za lugha.

Address

Usa-river
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gosheni Ministry International posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Gosheni Ministry International:

Share