Apostle Daniel Kakoa

Apostle Daniel Kakoa Founder Tv
CEO: SafeDrive Motors
Preacher & Worshiper
Apostle at Zion Apostolic Church

Hakuna anaependa kubaki na maisha yaleyale yasio na muelekeo mzuri, lakini jambo la furaha zaidi MUNGU ametupatika siku ...
18/04/2026

Hakuna anaependa kubaki na maisha yaleyale yasio na muelekeo mzuri, lakini jambo la furaha zaidi MUNGU ametupatika siku hizi mbili za MAOMBI YA KUBADILISHIWA MAISHA. USIKOSE

Nitakuwa nakuletea maombi Kila siku kuanzia Jumatatu hadi Jumapili kupitia TikTok account LIVE. Jina la account ni Apost...
18/04/2026

Nitakuwa nakuletea maombi Kila siku kuanzia Jumatatu hadi Jumapili kupitia TikTok account LIVE. Jina la account ni Apostle Daniel Kakoa

Hakikisha hii haukosi
13/04/2026

Hakikisha hii haukosi

Usikose
07/04/2026

Usikose

Ninakukaribisha kwenye Mkutano mkubwa wa Injili NGUVU YA KUTOKA TORATI 26:6-9. Leo tumemaliza siku ya kwanza na kesho ni...
16/10/2025

Ninakukaribisha kwenye Mkutano mkubwa wa Injili NGUVU YA KUTOKA TORATI 26:6-9. Leo tumemaliza siku ya kwanza na kesho ni siku ya pili hivyo jitahidi kufika na kuwahi bila kukosa. Miujiza, Ishara, ajabu za mwokozi zipo huku

13/10/2025

Matherafi na Makerubi tunaimba nao Leo. Tuabudu pamoja Kwa wimbo huu siku ya Leo, Ubarikiwe sana mtu wa Mungu.

Siku tatu tu lakini zimebeba historia njema juu ya maisha ya watu, karibu siku tatu za Mkutano mkubwa wa Injili tuje tut...
13/10/2025

Siku tatu tu lakini zimebeba historia njema juu ya maisha ya watu, karibu siku tatu za Mkutano mkubwa wa Injili tuje tutendewe na Bwana Ili tujawe na NENO la shuhuda. Ni Alhamisi, Ijumaa na Jumamosi ya wiki hii hapa Olasiti Uwanjani...

Sikiliza vizuri
29/08/2025

Sikiliza vizuri

Hivi hii ni point ya kuiongelea kweli? Ni jambo la kujivunia au kujihurumia? Majini wakisikia jina la Yesu wanaogopa na ...
22/08/2025

Hivi hii ni point ya kuiongelea kweli? Ni jambo la kujivunia au kujihurumia? Majini wakisikia jina la Yesu wanaogopa na kutetemeka huku tunaambiwa wanafurahi aloo

Ayubu 8:7 "Ijapokuwa mwanzo ni mdogo lakini mwisho utakuwa mkubwa sana"
19/08/2025

Ayubu 8:7 "Ijapokuwa mwanzo ni mdogo lakini mwisho utakuwa mkubwa sana"

Jifunze kuweka siri
19/08/2025

Jifunze kuweka siri

Address

P. O Box 17072 Arusha
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apostle Daniel Kakoa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Apostle Daniel Kakoa:

Share